Unatakafuta wa kuvusha dirishaniPiga chini mbuzi hiyo ,mi sifanya sherehe wala upambavu gani sijawai kuona kwetu sherehe ....sijwai kufanya graduation wala birthday tangu naanza la kwanza mpaka namaliza chuo so huo ujinga sipendelei
Hayo ni matatizo yakoPiga chini,mi sifanya sherehe wala upambavu gani sijawai kuona kwetu sherehe ....
Sijwai kufanya graduation wala birthday tangu naanza la kwanza mpaka namaliza chuo so huo ujinga sipendelei
Nina pesa paka wewe harusi na sherhe ni mila za mayahudi na wakristo
Hapo umenena jiraniFanya kile unachoweza...
Kama vile navyofanya yale nayoweza jirani...Hapo umenena jirani
Yeah sureKama vile navyofanya yale nayoweza jirani...
Huna hela tu..ukiwa na hela huwezi lialia humu..fukara ataona kila jambo ni matumizi mabaya ya pesa.Nina pesa paka wewe harusi na sherhe ni mila za mayahudi na wakristo
Wanatafutaga ufahari.Kwa upande wangu kama cna uwezo wa sherehe ye analazimisha namwambia aandae yeye.Hii imetokea kwa wanaume wawili ninaowafahamu wako in their late 20's wana wachumba zao washatambulishana hadi kwa wazazi.
Katika story za hapa na pale hao wakaka wanalalamika kuwa wanawapenda wachumba zao na wanataka kuwaoa, shida hao wadada wanasema wanataka sherehe ya harusi wakati vipato vya hao wakaka ni vidogo, hawawezi ku-afford gharama za harusi.
Walokutana na haya walisolve vipi hii changamoto?