Inakuwaje binti unataka kumuoa, anakubali ila anakuwekea ulazima wa kufanya sherehe ya harusi?

Inakuwaje binti unataka kumuoa, anakubali ila anakuwekea ulazima wa kufanya sherehe ya harusi?

Balqior

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2021
Posts
2,406
Reaction score
8,039
Hii imetokea kwa wanaume wawili ninaowafahamu wako in their late 20's wana wachumba zao washatambulishana hadi kwa wazazi.

Katika story za hapa na pale hao wakaka wanalalamika kuwa wanawapenda wachumba zao na wanataka kuwaoa, shida hao wadada wanasema wanataka sherehe ya harusi wakati vipato vya hao wakaka ni vidogo, hawawezi ku-afford gharama za harusi.

Walokutana na haya walisolve vipi hii changamoto?
 
Hakuna hela ya kuchezea .Kama hawataki piga chini .Imeisha hiyo.
Screenshot_20220831-081340_1.jpg
 
Sababu ana
Piga chini mbuzi hiyo ,mi sifanya sherehe wala upambavu gani sijawai kuona kwetu sherehe ....sijwai kufanya graduation wala birthday tangu naanza la kwanza mpaka namaliza chuo so huo ujinga sipendelei
Unatakafuta wa kuvusha dirishani
 
Mwambie harusi afanye kwa gharama zake. Wewe usitoe hata 100. Uwe mualikwa tu
 
hivi kama mambo madogo hivi mtu anakuja kuomba ushauri hivi tutakuwa na kizazi gani hapo baadae?mfano anataka tumwambie akope ili afanye harusi ama tumwambieje jamani?
 
Hii imetokea kwa wanaume wawili ninaowafahamu wako in their late 20's wana wachumba zao washatambulishana hadi kwa wazazi.

Katika story za hapa na pale hao wakaka wanalalamika kuwa wanawapenda wachumba zao na wanataka kuwaoa, shida hao wadada wanasema wanataka sherehe ya harusi wakati vipato vya hao wakaka ni vidogo, hawawezi ku-afford gharama za harusi.

Walokutana na haya walisolve vipi hii changamoto?
Wanatafutaga ufahari.Kwa upande wangu kama cna uwezo wa sherehe ye analazimisha namwambia aandae yeye.
 
Back
Top Bottom