Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Hii imetokea kwa wanaume wawili ninaowafahamu wako in their late 20's wana wachumba zao washatambulishana hadi kwa wazazi.
Katika story za hapa na pale hao wakaka wanalalamika kuwa wanawapenda wachumba zao na wanataka kuwaoa, shida hao wadada wanasema wanataka sherehe ya harusi wakati vipato vya hao wakaka ni vidogo, hawawezi ku-afford gharama za harusi.
Walokutana na haya walisolve vipi hii changamoto?