Inakuwaje bongo fleva inapigwa Kanisani na nyimbo za dini zinapigwa kwenye kumbi za starehe

Hata baible ndio maana unaikuta gesti, kwa walengwa wenyewe.
 
Yapo tena mengi Tu,Juzi tu hapa maene yetu Mwz wamepiga Ule wa wadada wanatikisa matako Siujui ila sio kwaya! Nikiupata nitaweka hapa tena j.pili

Hakuna kanisa hapo, itakuwa kama yale makusanyiko ya wafuasi wa Zumaridi
 
Nyimbo za kwaya kupigwa kwenye kumbu za starehe haina shida wanaweza okoka kupitia nyimbo shida ni nyimbo za dunia kupigwa kwenye nyumba za ibada
 
Kwenye youtube nikaona nabii mtalemwa na waumini wake wanalirudi goma la kizaire la muzinaa. Kumbe lile goma lina maudhui ya kidini bwana.
 
Kuna. Ile nyimbo ya rose muhando inapigwagwa club hasa ule muda wa kukamatiana utasikia " kamata pindo la yesu shikilia '' hasa hapo kwenye shikilia sasa wahuni utakuta wanakamatia hatari balaa
 
Kuna. Ile nyimbo ya rose muhando inapigwagwa club hasa ule muda wa kukamatiana utasikia " kamata pindo la yesu shikilia '' hasa hapo kwenye shikilia sasa wahuni utakuta wanakamatia hatari balaa
Ila alietengeneza ile beat alifanya kazi kubwa aisee
 
Nyimbo za kwaya kupigwa kwenye kumbu za starehe haina shida wanaweza okoka kupitia nyimbo shida ni nyimbo za dunia kupigwa kwenye nyumba za ibada
watu wanafanya balancing ili upande mmoja usizidiwe
 
Nyimbo zinazopigwa msibani sio kwaajili waliokufa au maiti,
Nikwaajili ya walio hai.
Zinatuma ujumbe kwa walio hai.

Nyimbo zinazopigwa Bar/Club sio kwaajili ya watakatifu au walokole au wenye dini,
Bali ni kwaajili ya wenye dhambi.
Zinatuma ujumbe kwa wny dhambi.

Mtu mmoja alisema,
Ni bora umtafakari Mungu ukiwa bar kuliko kuwaza mambo ya michepuko ukiwa kanisani.
 
Ma shaa Allah
 
Jibu ni rahisi. Hizi ni nyakati za mwisho. Kaa chonjo, jiandae Yesu anarudi. Umejiaandaje kunyakuliwa au kuitwa? Hili ndio la msingi...!
 
Ni bora ukakaa kimya kuliko kuja kutolewa ushahidi siku ya kiyama kwa unayoyaandika. Allah akuongoze
 
Na binadamu wanakatika haswa, miuno minginyu minginyu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…