KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Hata baible ndio maana unaikuta gesti, kwa walengwa wenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yapo tena mengi Tu,Juzi tu hapa maene yetu Mwz wamepiga Ule wa wadada wanatikisa matako Siujui ila sio kwaya! Nikiupata nitaweka hapa tena j.pili
Ila alietengeneza ile beat alifanya kazi kubwa aiseeKuna. Ile nyimbo ya rose muhando inapigwagwa club hasa ule muda wa kukamatiana utasikia " kamata pindo la yesu shikilia '' hasa hapo kwenye shikilia sasa wahuni utakuta wanakamatia hatari balaa
watu wanafanya balancing ili upande mmoja usizidiweNyimbo za kwaya kupigwa kwenye kumbu za starehe haina shida wanaweza okoka kupitia nyimbo shida ni nyimbo za dunia kupigwa kwenye nyumba za ibada
Ma shaa AllahUislamu hauna nyimbo hao wanoimba izo qaswida ni matamanio yao tu lkn si mafundisho ya Uislamu
Uislamu umeruhusu mashairi bila ya ala za muziki
hlf kitu kingine ulivosema mpk marekani sisi Waislamu imani yetu imejengeka na mapenzi ya Akhera zaidi kuliko dunia mna duniani tunapita tuu kma walivopita wengine
Ni bora ukakaa kimya kuliko kuja kutolewa ushahidi siku ya kiyama kwa unayoyaandika. Allah akuongozeMarehemu Mudi amefanikiwa sana kuwapumbaza wafuasi wake.
Kila kitu kizuri hakutaka ninyi mkipate, mziki aliwadanganya ni haramu kumbe yeye anauimba na kucheza kimya kimya na yule mke wake kale katoto kadogo cha miaka 9 sijui kaliitwa Hadija.
Kitimoto akawadanganya pia ni haramu kumbe alikuwa akirostiwa na Bi Hadija anajificha chumbani anakula na pombe,
Ashakufa, hayupo tena acheni kumuogopa kuleni kitimoto, kuleni bia, serebuka mziki, mnafeli wapi ninyi wafuasi wa dini ya mnyazimungu????
Jaribu uone moto!!Ajabu ni kuwa huwezi kukuta qaswida bar