Inakuwaje bongo fleva inapigwa Kanisani na nyimbo za dini zinapigwa kwenye kumbi za starehe

Inakuwaje bongo fleva inapigwa Kanisani na nyimbo za dini zinapigwa kwenye kumbi za starehe

Hata baible ndio maana unaikuta gesti, kwa walengwa wenyewe.
 
Yapo tena mengi Tu,Juzi tu hapa maene yetu Mwz wamepiga Ule wa wadada wanatikisa matako Siujui ila sio kwaya! Nikiupata nitaweka hapa tena j.pili

Hakuna kanisa hapo, itakuwa kama yale makusanyiko ya wafuasi wa Zumaridi
 
Nyimbo za kwaya kupigwa kwenye kumbu za starehe haina shida wanaweza okoka kupitia nyimbo shida ni nyimbo za dunia kupigwa kwenye nyumba za ibada
 
Kwenye youtube nikaona nabii mtalemwa na waumini wake wanalirudi goma la kizaire la muzinaa. Kumbe lile goma lina maudhui ya kidini bwana.
 
Kuna. Ile nyimbo ya rose muhando inapigwagwa club hasa ule muda wa kukamatiana utasikia " kamata pindo la yesu shikilia '' hasa hapo kwenye shikilia sasa wahuni utakuta wanakamatia hatari balaa
 
Kuna. Ile nyimbo ya rose muhando inapigwagwa club hasa ule muda wa kukamatiana utasikia " kamata pindo la yesu shikilia '' hasa hapo kwenye shikilia sasa wahuni utakuta wanakamatia hatari balaa
Ila alietengeneza ile beat alifanya kazi kubwa aisee
 
Nyimbo za kwaya kupigwa kwenye kumbu za starehe haina shida wanaweza okoka kupitia nyimbo shida ni nyimbo za dunia kupigwa kwenye nyumba za ibada
watu wanafanya balancing ili upande mmoja usizidiwe
 
Nyimbo zinazopigwa msibani sio kwaajili waliokufa au maiti,
Nikwaajili ya walio hai.
Zinatuma ujumbe kwa walio hai.

Nyimbo zinazopigwa Bar/Club sio kwaajili ya watakatifu au walokole au wenye dini,
Bali ni kwaajili ya wenye dhambi.
Zinatuma ujumbe kwa wny dhambi.

Mtu mmoja alisema,
Ni bora umtafakari Mungu ukiwa bar kuliko kuwaza mambo ya michepuko ukiwa kanisani.
 
Uislamu hauna nyimbo hao wanoimba izo qaswida ni matamanio yao tu lkn si mafundisho ya Uislamu
Uislamu umeruhusu mashairi bila ya ala za muziki
hlf kitu kingine ulivosema mpk marekani sisi Waislamu imani yetu imejengeka na mapenzi ya Akhera zaidi kuliko dunia mna duniani tunapita tuu kma walivopita wengine
Ma shaa Allah
 
Jibu ni rahisi. Hizi ni nyakati za mwisho. Kaa chonjo, jiandae Yesu anarudi. Umejiaandaje kunyakuliwa au kuitwa? Hili ndio la msingi...!
 
Marehemu Mudi amefanikiwa sana kuwapumbaza wafuasi wake.

Kila kitu kizuri hakutaka ninyi mkipate, mziki aliwadanganya ni haramu kumbe yeye anauimba na kucheza kimya kimya na yule mke wake kale katoto kadogo cha miaka 9 sijui kaliitwa Hadija.

Kitimoto akawadanganya pia ni haramu kumbe alikuwa akirostiwa na Bi Hadija anajificha chumbani anakula na pombe,

Ashakufa, hayupo tena acheni kumuogopa kuleni kitimoto, kuleni bia, serebuka mziki, mnafeli wapi ninyi wafuasi wa dini ya mnyazimungu????
Ni bora ukakaa kimya kuliko kuja kutolewa ushahidi siku ya kiyama kwa unayoyaandika. Allah akuongoze
 
Na binadamu wanakatika haswa, miuno minginyu minginyu...
 
Back
Top Bottom