kishunduon8
Senior Member
- Nov 8, 2018
- 100
- 87
jibu ni ndio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe ataendelea kuiongoza cdm hadi sisi wana cdm tutakavyo ona imetosha lkn siyo nyinyi masisiem kutuamuliaSofa za Sultan hachaguliwi
Sultan ni Wa kudumu
Sultan ni Wa maisha
Sultan ndiye alfa na omega
Sultan ni Sisters
Sultan ndiyo mwamzi Wa mwisho
Je M/kiti Wa Chadema ni Sultan???
Hapana sio sultan ni mkwe wa mmiliki wa chama.
Sultani ni mwenyekiti wenu asiyetaka kukosolewajibu ni ndio
Misukule ya mzee mtei mnawaza kwakutumia kijambio shwain.Akili zako mdogo kama kunguni
Kaokote mizoga coco biiichiMisukule ya mzee mtei mnawaza kwakutumia kijambio shwain.
mwenyekiti wetu na nani??Sultani ni mwenyekiti wenu asiyetaka kukosolewa
Acha kupotosha,sio title ya Islam,ni arabic wordSultan ( kar. سلطان sultan 🙂 is the title of Islam the ruler of the land, who inherited his position as king. Hiyo ndio mana halisi ya usultani kwa maana ya kitenzi. Unapozungumza usultani wa Mr Mbowe unamanisha nini? waungwana tujitahidi kuandika vitu vya msingi. Tafiti jambo kabla ya kuliteta kwa uma.(JAMII).
Pinga kwa hoja na si kumshambulia mtoa hojaAkili zako mdogo kama kunguni
afadhali kuliko muuaji anayeua watu coco beach, azory, ben ... mpiga risasi 38.....Sofa za Sultan hachaguliwi
Sultan ni Wa kudumu
Sultan ni Wa maisha
Sultan ndiye alfa na omega
Sultan ni Sisters
Sultan ndiyo mwamzi Wa mwisho
Je M/kiti Wa Chadema ni Sultan???
Mbowe ataendelea kuiongoza cdm hadi sisi wana cdm tutakavyo ona imetosha lkn siyo nyinyi masisiem kutuamulia
Kwa huu ujinga wao, basi Mbowe ni mpaka mwisho wa dunia. hata kama wana Chadema wangelitaka kubadili, kwa mashenzi haya ya kijani, basi ni mpaka lyamba!Mbowe ataendelea kuiongoza cdm hadi sisi wana cdm tutakavyo ona imetosha lkn siyo nyinyi masisiem kutuamulia
Nyerere alikuwa mwenyekiti wa Tanu na CCM kwa miaka mingapi? Nani alimwita sultani? Mrema na Mbatia na wenzao wamekuwa wenye viti muda gani? Zitto je? Tuwe tunajiuliza maswali na kufikiri kabla hatujaanzisha nyuzi. Makusudically akili umeiacha chooni.Sofa za Sultan hachaguliwi
Sultan ni Wa kudumu
Sultan ni Wa maisha
Sultan ndiye alfa na omega
Sultan ni Sisters
Sultan ndiyo mwamzi Wa mwisho
Je M/kiti Wa Chadema ni Sultan???
Waulize nyerere alikuwa mwenyekiti wa Tanu na CCM miaka mingapi?Sasa mbona kila siku mnalalamikia hakuna demokrasia...inatakiwa to lead by example