Inakuwaje CCM ndiyo wanauchoka uenyekiti wa Mbowe?

Inakuwaje CCM ndiyo wanauchoka uenyekiti wa Mbowe?

Sofa za Sultan hachaguliwi
Sultan ni Wa kudumu
Sultan ni Wa maisha
Sultan ndiye alfa na omega
Sultan ni Sisters
Sultan ndiyo mwamzi Wa mwisho
Je M/kiti Wa Chadema ni Sultan???
Mbowe ataendelea kuiongoza cdm hadi sisi wana cdm tutakavyo ona imetosha lkn siyo nyinyi masisiem kutuamulia
 
Izo sofa ya sultani hachaguliwi vipi tukizikalia?
 
Sultan ( kar. سلطان sultan 🙂 is the title of Islam the ruler of the land, who inherited his position as king. Hiyo ndio mana halisi ya usultani kwa maana ya kitenzi. Unapozungumza usultani wa Mr Mbowe unamanisha nini? waungwana tujitahidi kuandika vitu vya msingi. Tafiti jambo kabla ya kuliteta kwa uma.(JAMII).
Acha kupotosha,sio title ya Islam,ni arabic word
Ni sawa na kiingereza useme ni ukristo
 
Sofa za Sultan hachaguliwi
Sultan ni Wa kudumu
Sultan ni Wa maisha
Sultan ndiye alfa na omega
Sultan ni Sisters
Sultan ndiyo mwamzi Wa mwisho
Je M/kiti Wa Chadema ni Sultan???
afadhali kuliko muuaji anayeua watu coco beach, azory, ben ... mpiga risasi 38.....
 
Mbowe ataendelea kuiongoza cdm hadi sisi wana cdm tutakavyo ona imetosha lkn siyo nyinyi masisiem kutuamulia

Sasa mbona kila siku mnalalamikia hakuna demokrasia...inatakiwa to lead by example
 
Mbowe ataendelea kuiongoza cdm hadi sisi wana cdm tutakavyo ona imetosha lkn siyo nyinyi masisiem kutuamulia
Kwa huu ujinga wao, basi Mbowe ni mpaka mwisho wa dunia. hata kama wana Chadema wangelitaka kubadili, kwa mashenzi haya ya kijani, basi ni mpaka lyamba!
 
Sofa za Sultan hachaguliwi
Sultan ni Wa kudumu
Sultan ni Wa maisha
Sultan ndiye alfa na omega
Sultan ni Sisters
Sultan ndiyo mwamzi Wa mwisho
Je M/kiti Wa Chadema ni Sultan???
Nyerere alikuwa mwenyekiti wa Tanu na CCM kwa miaka mingapi? Nani alimwita sultani? Mrema na Mbatia na wenzao wamekuwa wenye viti muda gani? Zitto je? Tuwe tunajiuliza maswali na kufikiri kabla hatujaanzisha nyuzi. Makusudically akili umeiacha chooni.
 
Back
Top Bottom