Inakuwaje CCM ndiyo wanauchoka uenyekiti wa Mbowe?

Inabidi TRA wapige marufuku watu kunywa chibuku
 
Bwa shee usiniangushe, hii hoja yako ni dhaifu mno.
 
Leo nao wanautaka uenyekiti wa kudumu mwenyekiti wao atawale milele
 
Huwezi ukasimama mbele ya hadhara na kudai kuwa eti niliwekeza pesa zangu ili kuimarisha chama na kukijenga hivyo niwe mwenyekiti wa maisha. Hapana huu sio uungwana wa kisiasa.

Leo hii watanzania wengi hawana imani na wewe sababu walishatambua kuwa wewe unatumia Chadema kupata manufaa kiuchumi. Kwa hivyo ni wazi kuwa haufai kabisa. Pisha kuwa kiongozi.
 
Subiri wamelize kufuturu!
 
Reactions: mmh
Ha ha haaaa. Haisaidii tena sasa hivi. Kikubwa muombee maisha marefu tu
 
MATAGA mnataka kuweka mtu wenu kwenye nafasi ya mwenyekiti Cdm, kama mlivyofanya CUF, baada ya kushindwa kumnunua Mh. Mbowe🙄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…