Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Inabidi TRA wapige marufuku watu kunywa chibukuNapendekeza Chadema irekebishe katiba yake ili kumpa mwenyekiti Mbowe fursa ya kudumu katika nafasi yake.
Kiukweli Mbowe ameitendea mengi Chadema ambayo siyo rahisi kumpata mtu wa kuyaendeleza endapo atastaafu.
Katiba ya Chadema siyo msahafu wala Biblia inaweza kurekebishwa kukidhi mahitaji ya wakati.
Wanachama wanataka maendeleo na kama wanayapata " kwa uhakika " kupitia kwa Mbowe kwanini asiongezewe muda?!!
Siasa ni sayansi.
Maendeleo hayana vyama!