Inakuwaje CCM ndiyo wanauchoka uenyekiti wa Mbowe?

Napendekeza Chadema irekebishe katiba yake ili kumpa mwenyekiti Mbowe fursa ya kudumu katika nafasi yake.

Kiukweli Mbowe ameitendea mengi Chadema ambayo siyo rahisi kumpata mtu wa kuyaendeleza endapo atastaafu.

Katiba ya Chadema siyo msahafu wala Biblia inaweza kurekebishwa kukidhi mahitaji ya wakati.
Wanachama wanataka maendeleo na kama wanayapata " kwa uhakika " kupitia kwa Mbowe kwanini asiongezewe muda?!!

Siasa ni sayansi.

Maendeleo hayana vyama!
Inabidi TRA wapige marufuku watu kunywa chibuku
 
Napendekeza Chadema irekebishe katiba yake ili kumpa mwenyekiti Mbowe fursa ya kudumu katika nafasi yake.

Kiukweli Mbowe ameitendea mengi Chadema ambayo siyo rahisi kumpata mtu wa kuyaendeleza endapo atastaafu.

Katiba ya Chadema siyo msahafu wala Biblia inaweza kurekebishwa kukidhi mahitaji ya wakati.
Wanachama wanataka maendeleo na kama wanayapata " kwa uhakika " kupitia kwa Mbowe kwanini asiongezewe muda?!!

Siasa ni sayansi.

Maendeleo hayana vyama!
Bwa shee usiniangushe, hii hoja yako ni dhaifu mno.
 
Leo nao wanautaka uenyekiti wa kudumu mwenyekiti wao atawale milele
 
Huwezi ukasimama mbele ya hadhara na kudai kuwa eti niliwekeza pesa zangu ili kuimarisha chama na kukijenga hivyo niwe mwenyekiti wa maisha. Hapana huu sio uungwana wa kisiasa.

Leo hii watanzania wengi hawana imani na wewe sababu walishatambua kuwa wewe unatumia Chadema kupata manufaa kiuchumi. Kwa hivyo ni wazi kuwa haufai kabisa. Pisha kuwa kiongozi.
 
Huwezi ukasimama mbele ya hadhara na kudai kuwa eti niliwekeza pesa zangu ili kuimalisha chama na kukijenga hivyo niwe mwenyekiti wa maisha. Hapana huu sio uungwana wa kisiasa.

Subiri wamelize kufuturu!
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Huwezi ukasimama mbele ya hadhara na kudai kuwa eti niliwekeza pesa zangu ili kuimalisha chama na kukijenga hivyo niwe mwenyekiti wa maisha. Hapana huu sio uungwana wa kisiasa.

Leo hii watanzania wengi hawana imani na wewe sababu walishatambua kuwa wewe unatumia Chadema kupata manufaa kiuchumi. Kwa hivyo ni wazi kuwa haufai kabisa. Pisha kuwa kiongozi.
Ha ha haaaa. Haisaidii tena sasa hivi. Kikubwa muombee maisha marefu tu
 
Huwezi ukasimama mbele ya hadhara na kudai kuwa eti niliwekeza pesa zangu ili kuimalisha chama na kukijenga hivyo niwe mwenyekiti wa maisha. Hapana huu sio uungwana wa kisiasa.

Leo hii watanzania wengi hawana imani na wewe sababu walishatambua kuwa wewe unatumia Chadema kupata manufaa kiuchumi. Kwa hivyo ni wazi kuwa haufai kabisa. Pisha kuwa kiongozi.
MATAGA mnataka kuweka mtu wenu kwenye nafasi ya mwenyekiti Cdm, kama mlivyofanya CUF, baada ya kushindwa kumnunua Mh. Mbowe🙄
 
Back
Top Bottom