Inakuwaje CCM ndiyo wanauchoka uenyekiti wa Mbowe?

Acha fitna wewe mleta mada, Mbowe anajifua kwenda Ikulu kwuonana na SSH, siasa ni mkakati...
 
Corona inatisha sana
 
Chadema ipo hai sababu ya Mbowe,masikini ahaminiki chukulia mfano Leo mliokuwa mnataka wawe kwenye nafasi ya uenyekiti Dr Slaa,Zitto,Kitila Mkumbo na wengine wengi Leo hip huyo Chadema ingekuwepo??

Lissu/Prof safari moja wao anafaa kuwa mwenyekiti,tatizo ni umasikini wao sidhani kama wanaweza kuhimili vizingiti vya Serikali na CCM.

Hakuna Chadema bila Mbowe,ila Mbowe anatakiwa atafute Njiakama atamwachia MTU uenyekiti achague MTU mwenye hela.
 
Mama yako ana hasara.
 
MATAGA mnataka kuweka mtu wenu kwenye nafasi ya mwenyekiti Cdm, kama mlivyofanya CUF, baada ya kushindwa kumnunua Mh. Mbowe[emoji849]
Hayata weza kamwe wataishia kubweka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…