Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Haya ngoja tuone Kama atakusikiliza
Nalog off
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe na nani sasa?Sawa mkuu, Mbowe hatufai.
Poleni wafiwa naona akili haziwarudi tunajua Sonona mliyonayo tunawasamehe bure.Mimba ya mwendazake imekuachia mbunge mmoja.
Hiyo mimba itakutoa roho.
Kamanda Asiyechoka.Wewe na nani sasa?
Sema nembo ya saccos ya Mbowe,sio nembo ya chama.Kijana acha kuchezea Nembo za Chama
Corona inatisha sanaHuwezi ukasimama mbele ya hadhara na kudai kuwa eti niliwekeza pesa zangu ili kuimalisha chama na kukijenga hivyo niwe mwenyekiti wa maisha. Hapana huu sio uungwana wa kisiasa.
Leo hii watanzania wengi hawana imani na wewe sababu walishatambua kuwa wewe unatumia Chadema kupata manufaa kiuchumi. Kwa hivyo ni wazi kuwa haufai kabisa. Pisha kuwa kiongozi.
Umemaliza kaziMwendazake pamoja na majeshi yote kashindwa wewe utaweza kumuondoa kwa thread ya JF.
Wewe dawa yako ni coronaHaya Joyce Mukya mama yetu.
Mama yako ana hasara.Chadema ipo hai sababu ya Mbowe,masikini ahaminiki chukulia mfano Leo mliokuwa mnataka wawe kwenye nafasi ya uenyekiti Dr Slaa,Zitto,Kitila Mkumbo na wengine wengi Leo hip huyo Chadema ingekuwepo??
Lissu/Prof safari moja wao anafaa kuwa mwenyekiti,tatizo ni umasikini wao sidhani kama wanaweza kuhimili vizingiti vya Serikali na CCM.
Hakuna Chadema bila Mbowe,ila Mbowe anatakiwa atafute Njiakama atamwachia MTU uenyekiti achague MTU mwenye hela.
Naona umeibuka baada ya kuomba bundle kwa BASHITESubiri wamelize kufuturu!
Mataga Mama kawavuruga sasa hasira zenu mnaona muzilete huku ChademaSema nembo ya saccos ya Mbowe,sio nembo ya chama.
Mfuate jiweSawa mkuu, Mbowe hatufai.
Utakufa wewe na cdm utaiwachaIli Chadema yetu ife kifo kirefu?
Mfuate jiwe
Mpumbavu kama wewe huna hadhi ya kujibishana na mimi.Mfuate jiwe
Hayata weza kamwe wataishia kubweka tuMATAGA mnataka kuweka mtu wenu kwenye nafasi ya mwenyekiti Cdm, kama mlivyofanya CUF, baada ya kushindwa kumnunua Mh. Mbowe[emoji849]
Wewe tunakujua kuwa ni MJANEMimba ya mwendazake imekuachia mbunge mmoja.
Hiyo mimba itakutoa roho.
Chadema yetu ni mali ya umma. Upo sawa?Kijana acha kuchezea Nembo za Chama