Inakuwaje CCM ndiyo wanauchoka uenyekiti wa Mbowe?

Mkizungumzia sultan mboe akili yangu yote inamuwaza marehemu Ibrahim pasha.
 
Sofa za Sultan hachaguliwi
Sultan ni Wa kudumu
Sultan ni Wa maisha
Sultan ndiye alfa na omega
Sultan ni Sisters
Sultan ndiyo mwamzi Wa mwisho
Je M/kiti Wa Chadema ni Sultan???
You are mentally sick!!!...sofa za Sultan hachaguliwi ndo nn?
 
Mkuu yajue ya kuzingatia ili uachane na yasiyo kuhusu
 
Nyerere,Zit to, na wengine uliowataja hawajawahi Kiongozi Chadema kama wenyeviti Wa kudumu. Vyama ulivyovitaja Kamwe hawajawahi kufikiria kuongoza SACCOS kama ya Chadema. Sultan anapatikana Chadema tu
Nyerere alikuwa mwenyekiti wa Tanu na CCM kwa miaka mingapi? Nani alimwita sultani? Mrema na Mbatia na wenzao wamekuwa wenye viti muda gani? Zitto je? Tuwe tunajiuliza maswali na kufikiri kabla hatujaanzisha nyuzi. Makusudically akili umeiacha chooni.
 
Sofa za Sultan hachaguliwi
Sultan ni Wa kudumu
Sultan ni Wa maisha
Sultan ndiye alfa na omega
Sultan ni Sisters
Sultan ndiyo mwamzi Wa mwisho
Je M/kiti Wa Chadema ni Sultan???
[/QUOTE
]Ni bora kuwa na M/kitu sultani kuliko kuwa na M/kitu kichaa anayehimiza watu wanywe gongo na kuvuta bangi!
 
Mpumbavu sana wewe kamongo!! Juha na Zwazwa!! Sifa kuu ya lugha ni mali ya binadamu sasa hilo swali lako unaonesha ni wazi una akili mbovu kama za jiwe
Your "english", can a human being own English? , Nonsense.
 
Hapo chadema kuna mwenye ubavu wa kugombea uenyekiti na mboye?
Dar es Salaam. Freeman Mbowe amechaguliwa tena kuwa Mwenyekiti wa Chadema katika Mkutano Mkuu wa chama hicho uliofanyika jana. Katika uchaguzi huo, Mbowe alipata kura 789 sawa na asilimia 97.3 na kumshinda mpinzani wake ambaye hakuwa na nguvu kubwa, Gambaranyera Mongateo aliyeambulia kura 20 sawa na asilimia 2.5 Hiki ni kipindi cha tatu kwa Mbowe kupewa ridhaa ya kuongoza chama hicho kikuu cha upinzani nchini.

Hii ni mwaka 2014.
 
Kwani macho hakuna mpinzani

Ogopa kutukana na JUHA. Utacheka hadi uvunjike mbavu, Jamani JUHA hiloooo. !!!!
Mpumbavu sana wewe kamongo!! Juha na Zwazwa!! Sifa kuu ya lugha ni mali ya binadamu sasa hilo swali lako unaonesha ni wazi una akili mbovu kama za jiwe
 
Dar es Salaam. Freeman Mbowe amechaguliwa tena kuwa Mwenyekiti wa Chadema katika Mkutano Mkuu wa chama hicho uliofanyika jana. Katika uchaguzi huo, Mbowe alipata kura 789 sawa na asilimia 97.3 na kumshinda mpinzani wake ambaye hakuwa na nguvu kubwa, Gambaranyera Mongateo aliyeambulia kura 20 sawa na asilimia 2.5 Hiki ni kipindi cha tatu kwa Mbowe kupewa ridhaa ya kuongoza chama hicho kikuu cha upinzani nchini.

Hii ni mwaka 2014.
Ha ha ha ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom