Inakuwaje CHADEMA wanakuwa smart zaidi ya CCM?

Mwambukus na slaa hao sio wanacdm
 
Chadema sio smart sema udhaifu wa ccm .mtanzania yeyote Anaejitambua lazima auone tu haufichiki.
Nimekupa like yangu ndugu ,ccm chini ya huyu maama ni dhaifu na hapo ndo wapinzani wanpopatia keti na wa sio na chama
 
 
Chama cha Mazezeta
 
Ni tatizo la uongozi. CCM iliwahi kuwa na wasaidizi wasomi, wenye weledi na uzoefu wa kimataifa. Utakumbuka hata akina Prof Malima, Ngombale Mwiru walisomeashwa na TANU kwa maksudi ili kujenga uwezo wa chama. Watu walijiunga na TANU/CCM kwa sababu chama kilihamasisha uzalendo, kilisimamia haki kwa kauli na vitendo; hawakujiunga kutafuta teuzi.
 
Leta vigezo vyako vya usmart wa CCM tuvione
 
Mkuu 'The Burning Spear' huu mtindo wa uwasilishaji wa nondo zinazogusa kwenye mfupa penyewe ni mgeni na mpya kabisa!

Mifano halisi kabisa isiyo kuwa na mkanganyiko kabisa ni njia rahisi ya kuelewesha watu wenye akili nzito kuelewa.

Nawashauri viongozi wa CHADEMA wautumie pia mtindo huu kueneza elimu kwa wananchi.

Nakupongeza sana kwa ubunifu wako huu.
 
Hapana.

Hii dhana yako haiko sahihi hata kidogo.

Jaribu kidogo kudadisi sababu inayofanya iwe hivyo.

Mimi ninazo sababu za kueleza kwa nini inaonekana hivyo.
 
Mleta mada, mkuu 'The Burning Spear' aanzie hapa kupata majibu ya hoja zake.
 
Argumentum ad hominem....

Deflection
***********

Kuna GENGE kulizidi CHADEMA ?!!

Hawa ni waponyaji gani wa kisiasa?!!

Mbowe alilamba BILIONI za RA ili apishe yale ya kule MARA 2005....

Akalamba tena baada ya ASKOFU mshenga kumfuata....Dr.Slaa akakimbilia ulaya...Lipumba Rwanda....

Ile gia angani ilimpa UTAJIRI MKUBWA....kupitia kubadili gia akina RODNEY wanaishi pepo ya dunia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kalaghabaho akina MDUDE
 
CCM ni chama cha siasa....si cha kidini....

DECEPTION
************
Tundu Lissu ni MWONGO....

Eti anadanganya kuwa serikali imewahonga MWIBA HOLDINGS bilioni za ekari [emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Uongo mweupe.....hivi ekari bilioni 2 si mikoa 3 jamani ?!!! [emoji1787]

Tundu is a pathetic lier
 
Dawati la siasa lishapwaya, wajitafakari maana meli ndio inazama hivyo.
Tupo....

Dawati halijazama....

Chini ya JPM dawati lilitekeleza "siasa zake tu"....leo hii linatekeleza siasa JUMUISHI....



Nyboma vipi Dodoma huko ?!!!
 
Hamna ccm walisha kuwa vipofu kwamba ccm itaback madarakani miaka yote maana wapo na back up ya vyombo vya dola bila kutojua majira hubadilika wala hawataki jifunza Zambia
 
Wataalam wengi wapo CCM ila wamekata tamaa kwasababu wanaothaminiwa ni akina Bambo n.k
Si kweli....

Wathaminiwe kivipi ?!!!

Je watanzania wenyewe wakoje ?!!!

Yaani "dawati la siasa" lisipendekeze uhusika wa wasanii na waimba singeli ilihali watanzania wenyewe wanawapenda na kupenda mambo yao ?!!!

Siasa ni upepo....

Dini ndizo zisizobadilika [emoji1787][emoji1787]
 
Zama zimebadilika....

Hivi siasa za kulijenga taifa ni sawa na sasa za KULIENDELEZA?!!! [emoji15][emoji15][emoji1787]
 
Ilo lichama la Majangili ni kuliombea mabaya tu liendelee kukosea na kufanya uamuzi wa ovyo Ili Tanzania ipone!
 
CCM ni chama kikubwa ni aibu kuyumbishwa na Vijana wadogo
Mdude ?!!!

Boniphace Jacob ?!!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]

CCM si chama cha siasa za matukio za upinzani......

Hili la mkataba wa DPW liwe la kuitisha CCM ?!!! [emoji15][emoji15]

UJINGA MTUPU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…