Inakuwaje CHADEMA wanakuwa smart zaidi ya CCM?

DENY
•••••••

Ni siasa tu...
Ni michezo ya siasa....

Fikiria hili...

Ulitaka CHADEMA isifie "uwazi ,demokrasia ,na siasa laini za mh.Rais SSH"?!!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]

Chadema walimponda JPM kwa ubabe....

Lini wamemsifia mama kwa kuwatoa JELA UAMSHO ?!!!

Lini wamemsifia mama kwa kumlipa TUNDU LISSU stahiki zake ?!!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]

Unataka CCM ifanye kinyume kipi?!!

Siasa tu...
 
...CCM Haina tatizo... Tatizo ni wana-CCM (Wanachama)... Chadema pia mafisadi wapo... Chagua mtu... usichague chama
 
Ni hivyo mkuu, ujinga mtu kuangalia juu kutaka mvua bila kujua mvua inaanzia chini, then juu kisha chini na kuleta neema.
Nina maana wachini huwapeleka wachache juu kisha hao walio juu kutimiza watakayo wachini, nani mkuu kiuhakisia?
Juu kukiwa hakiko Vizuri maji yatarudi kama ukungu au umande
 
...CCM Haina tatizo... Tatizo ni wana-CCM (Wanachama)... Chadema pia mafisadi wapo... Chagua mtu... usichague chama
Mwanachadema MBOWE anawasaliti wenzake kwa kutia kibindoni yale mabilioni ya ushenga....Dr.Slaa akajiona mjinga na kukimbilia ulaya.... Lipumba Rwandaaa[emoji1787][emoji1787]
 
Imagine hata propaganda tu wamefeli mnoo [emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Unajicheka kwa ujinga wako ?!!!

Propaganda ni sehemu ya siasa....

Hivi unazijua 10 D's against political opponents?!!!

Wenzako tulifundishwa[emoji1787][emoji1787]

Karibu Lumumba [emoji120]
 
Kwa ufupi, tunaongozwa na ndondocha wasiojitambua mfamo wa yule Malenga wa CDM pale Mwanza- "mazombi wanapiga makofi kama timu ya ..."
 
Mtoto wa kambo huwa smart
 
Mwanachadema MBOWE anawasaliti wenzake kwa kutia kibindoni yale mabilioni ya ushenga....Dr.Slaa akajiona mjinga na kukimbilia ulaya.... Lipumba Rwandaaa[emoji1787][emoji1787]
mimi nilishasema... Uzalendo wangu ntautimizia huku mtaani... Ntawanunulia wenye kiu maji na vinywaji... Wenye njaa nawanunulia chakula... Umeme natengeneza source yangu mwenyewe... Maji nachimba visima... Kuliko kuwa na biashara unalipa TRA na kodi zote... Alafu wanazipiga walio juu... Wanatoa elimu bure ili kusingizia kuwa ndio matumizi ya pesa... Wakati pesa zinazopigwa ni nyingi kuliko zinazofanya kazi... maendeleo zero...
 
Zama zimebadilika....

Hivi siasa za kulijenga taifa ni sawa na sasa za KULIENDELEZA?!!! [emoji15][emoji15][emoji1787]
Hasaa! Zama zikibadilika ndipo inahitaji akili kubwa na uongozi bora zaidi na siyo zama zibadilike kwa kurudi nyuma. Nchi zilizoendelea zinachukua watoto wa Tanzania wenye akili na vipaji sisi hatuwafuatilii hawa vijana. Hatujali Tanzania ya baadaye. Zama hizo Tanzania ilisomesha na kuwatafutia vyuo muafaka. Ndiyo tofauti namna ya kufikiri ilivyo.
 
...Inawezakuwa bandari haijauzwa... Imekodishwa... Ili pesa za kodi za kila mwezi au mwaka ziwe zina-pass maclouds...
 
At last you have spoken eloquently [emoji120]
 
[emoji2956]
 
Sikujua kama we jamaa ni mweupe kichwani namna hii , Bilionea Mbowe atajirike kwa sababu ya Lowassa ! kwani Lowassa na Malecela au Warioba wana tofauti gani ?
 
Nakuhakikishia kwamba ccm kuanzia ngazi ya Mkoa hadi chini , yaani Wilaya , kata na vijiji hakunavyeyote anayehamasisha wanachama wapya , wote hawa wako bize kulogana kwenye mali za chama , yaani wanapambana na wapangaji wa vibanda duni vya ccm ili kupewa rushwa .

Kwa ufupi ccm imekufa .
 
Sikujua kama we jamaa ni mweupe kichwani namna hii , Bilionea Mbowe atajirike kwa sababu ya Lowassa ! kwani Lowassa na Malecela au Warioba wana tofauti gani ?
Sikujua wewe Tusekelege ni "zwazwa kiasi hicho"...[emoji1787]

Ukiwa bilionea huzitaki bilioni nyingine ?!!!

Basi Bakhresa asingehangaika kila uchao ?!! [emoji1787][emoji1787]

Ni rahisi kuwa Bilionea....ila si rahisi kuendelea kuwa bilionea...

Mbowe ni mjanjamjanja mno....mzee wa kubadili gia angani baada ya ule "mlambisho" [emoji1787][emoji1787]
 
Mbowe humjui
 
Chadema imewekeza katika siasa mfu za majitaka....[emoji1787]

Ona uongo wa TL....eti Mwiba Holdings imehongwa zaidi ya hekari bilioni 2 huko mkoani Simiyu....sasa hekari bilioni 2 si ukubwa wa mikoa 3?!!! [emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…