Habari za majukumu wanajukwaa.
Nimeona kama vile waajiriwa wengi wapya kwenye taasisi mbali mbali kwa sasa ni UDOM graduate's ukilinganisha na vyuo vingine. Mfano kuna taasisi moja mwezi uliopita kati ya waajiriwa wake 26, 12 ni graduate wa UDOM.
Ni kwamba wako competent sana kwenye Soko la ajira kwa sasa? Ni sababu zipi zinachangia, maana ajira za utumishi ni ngumu sana kimemo kutumika.
Najua humu kuna HR Officers wengi waliwahi/wanaendesha interview kupitia utumishi kwa naiba ya taasisi zao. Hebu tupeni maoni yenu mnapokutana nao hao vijana kwenye hizo interview zenu labda nitabadilisha msimamo wangu, maana ni kama siamini.