Inakuwaje graduates wa UDOM wanafaulu sana sahili za Utumishi?

UDSM ni rare products wewe, wale huwa wao hawaombi hivyo viajira. Zikitoka zile ajira za maana huwa waajiri wanaenda Chuo na kuomba majina ya wanafunzi waliomaliza halafu wanawatafuta kuwaomba wakubali kujiunga na makampuni/taasisi/mashirika yao.
vikibaki hivi vinafasi vidogo ambavyo wanafunzi wa UDSM huwa wamevikataa ndiyo wanaenda kuvitangaza na hapo ndiyo utaona akina UDOM wakivugombea😄😄.
Hauwwzi ukakuta mwanafunzi wa UDSM akiwa mtaani😀😀
 
vikibaki hivi vinafasi vidogo ambavyo wanafunzi wa UDSM huwa wamevikataa ndiyo wanaenda kuvitangaza na hapo ndiyo utaona akina UDOM wakivugombea[emoji1][emoji1].
Hauwwzi ukakuta mwanafunzi wa UDSM akiwa mtaani[emoji3][emoji3]
Maliza shule kwanza wewe ndiyo utaelewa. Wenzako wapo mtaani wanateseka ww unaleta utani.
 
Mademu zao ndio wanatufariji mnoo kipindi tuna mikutano mbalimbali ya kiserikali jijini Dodoma!!!
 
Sasa si ndio wengi hata kwa idadi ya watu
 
UDSM ni rare products wewe, wale huwa wao hawaombi hivyo viajira. Zikitoka zile ajira za maana huwa waajiri wanaenda Chuo na kuomba majina ya wanafunzi waliomaliza halafu wanawatafuta kuwaomba wakubali kujiunga na makampuni/taasisi/mashirika yao.
vikibaki hivi vinafasi vidogo ambavyo wanafunzi wa UDSM huwa wamevikataa ndiyo wanaenda kuvitangaza na hapo ndiyo utaona akina UDOM wakivugombea😄😄.
Hauwwzi ukakuta mwanafunzi wa UDSM akiwa mtaani😀😀
Wacha weeeh😂😂

Hebu maliza chuo kwanza, maana hata mfumo wa ajira wa siku hizi hata hauujui, account ya ajira portal tuu hauna.
 
Kaangalie kati ya walioomba UDOM walikuwa wangapi, ukishajua utakuwa umeshapata jibu.
 
Sababu nyengine ambayo haijatajwa Udom wapo wengi, kama College moja Ualimu ama Social science wamafunzi wanakaribia 10,000 unategemea nini?

Chuo kimoja Cha Udom ni kama Vyuo 10 ama zaidi vidogo vidogo.
 
Wacha weeeh😂😂

Hebu maliza chuo kwanza, maana hata mfumo wa ajira wa siku hizi hata hauujui, account ya ajira portal tuu hauna.
Hizo accounts za ajira portal ni kwa ajili ya wanafunzi wa UDOM, na vyuo vya ualimu, manesi, clinicians, na vinginevyo.
Ukimaliza UDSM huwa unafuatwa nyumbani🤣🤣🤣
 
UDSM ni rare products wewe, wale huwa wao hawaombi hivyo viajira. Zikitoka zile ajira za maana huwa waajiri wanaenda Chuo na kuomba majina ya wanafunzi waliomaliza halafu wanawatafuta kuwaomba wakubali kujiunga na makampuni/taasisi/mashirika yao.
vikibaki hivi vinafasi vidogo ambavyo wanafunzi wa UDSM huwa wamevikataa ndiyo wanaenda kuvitangaza na hapo ndiyo utaona akina UDOM wakivugombea[emoji1][emoji1].
Hauwwzi ukakuta mwanafunzi wa UDSM akiwa mtaani[emoji3][emoji3]
[emoji16][emoji16][emoji16]acha masihar mkuu
 
Hizo accounts za ajira portal ni kwa ajili ya wanafunzi wa UDOM, na vyuo vya ualimu, manesi, clinicians, na vinginevyo.
Ukimaliza UDSM huwa unafuatwa nyumbani🤣🤣🤣
Pambana kijana, the hustle is real..... Trust me, utaapply sana kazi lakini hautawahi kuwa hata kwenye shortlist😂

Kuna code hautakaa uzijue kamwee, endelea na Grandiosity zako hapo.

Screenshot_2023-05-05-20-32-47-178-edit_com.android.chrome.jpg
 
Habari za majukumu wanajukwaa.

Nimeona kama vile waajiriwa wengi wapya kwenye taasisi mbali mbali kwa sasa ni UDOM graduate's ukilinganisha na vyuo vingine. Mfano kuna taasisi moja mwezi uliopita kati ya waajiriwa wake 26, 12 ni graduate wa UDOM.

Ni kwamba wako competent sana kwenye Soko la ajira kwa sasa? Ni sababu zipi zinachangia, maana ajira za utumishi ni ngumu sana kimemo kutumika.

Najua humu kuna HR Officers wengi waliwahi/wanaendesha interview kupitia utumishi kwa naiba ya taasisi zao. Hebu tupeni maoni yenu mnapokutana nao hao vijana kwenye hizo interview zenu labda nitabadilisha msimamo wangu, maana ni kama siamini.

Where is your supporting evidence?
 
Samahani mtoa mada hivi hiki sinikilichuo wakati kinaanza graduate wake walikuwa wadau kuwa hawaajiriki hamna taasisi ilikuwa ikiwataka. Kumbe mambo hubadirika inabidi tuwapongeze kwa hilo from zero to hero.
Ni kweli kabisa lakini ukweli ni kwamba Magufuli atakumbukwa sana kwa kukibadilisha hiki chuo kuondokana na kuzalisha vilaza! Udom kimeboreka sana sana…
 
Mkaa karibu na mpishi ndio mlaji mwenyewe
 
Mkuu, hoja yako haiko katika mzani wa kupima vyuo kwa namna ulivyofikiria; kwa sababu zifuatazo.
1.Hio taasisi iko Dodoma au mkoa mwingine.
2. Fanya utafiti angalau taasisi 2+. hoja yako itakuwa na nguvu zaidi,
3. Mfano. Mimi wakati niko mwaka wa mwisho chuoni, nilifanya mazoezi ya vitendo kwenye taasisi flani, tulikuwa 13 chuo kimoja na wengine 7 walitoka vyuo vingine baada ya kumaliza chuo, watu 6 tulipata nafasi ya kazi katika hio taasisi, Je chuo nilichosomea ni bora kuliko vyuo vingine?
 
Back
Top Bottom