scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,863
- 5,719
UDSM ya zamani sio sasa,sasa hivi karibia kila mtu anasoma pale,fatilia utajaelewa.UDSM ni rare products wewe, wale huwa wao hawaombi hivyo viajira. Zikitoka zile ajira za maana huwa waajiri wanaenda Chuo na kuomba majina ya wanafunzi waliomaliza halafu wanawatafuta kuwaomba wakubali kujiunga na makampuni/taasisi/mashirika yao.
vikibaki hivi vinafasi vidogo ambavyo wanafunzi wa UDSM huwa wamevikataa ndiyo wanaenda kuvitangaza na hapo ndiyo utaona akina UDOM wakivugombea[emoji1][emoji1].
Hauwwzi ukakuta mwanafunzi wa UDSM akiwa mtaani[emoji3][emoji3]
Vyuo pia inategemea na course kuna baadhi ya vyuo kozi fulani wako vizuri sana ukilinganisha na kozi zingine,hiyo ipo kila chuo