Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Sawa kabisaSiku hizi watu wanapima kichwa cha mtu binafsi sio Chuo alichotoka
Kama unadhani ukisoma udsm ajira nje nje sahau.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kabisaSiku hizi watu wanapima kichwa cha mtu binafsi sio Chuo alichotoka
Mambo yanabadilika mzeeLakini UDSM si wanasema inachukua wanafunzi wa division one tu, inakuwaje performance yake iwe sawa na vyuo vingine?
Kwa taarifa yako,Udom chuo cha KATA
Mbona maneno mengi kama unateseka hivi😅😅 Udom chuo cha KATAKwa taarifa yako,
Jina hili ni miongoni mwa chachu zilizoifanya UDOM ipae. Labda kwa faida yako mkuu; ukimpa mtu jina la kebehi linasababisha ajitathmini na hatimaye afanye maboresho makubwa kwenye nyanja tofauti mwishowe anakuwa mtu bora kwenye jamii.
UDSM ni rare products wewe, wale huwa wao hawaombi hivyo viajira. Zikitoka zile ajira za maana huwa waajiri wanaenda Chuo na kuomba majina ya wanafunzi waliomaliza halafu wanawatafuta kuwaomba wakubali kujiunga na makampuni/taasisi/mashirika yao.
vikibaki hivi vinafasi vidogo ambavyo wanafunzi wa UDSM huwa wamevikataa ndiyo wanaenda kuvitangaza na hapo ndiyo utaona akina UDOM wakivugombea😄😄.
Hauwwzi ukakuta mwanafunzi wa UDSM akiwa mtaani😀😀
Ni chuo cha kata kweli,ila ndio hivyo graduate wake wanaaminika.Mbona maneno mengi kama unateseka hivi😅😅 Udom chuo cha KATA
Pia Utaratibu wa TCU kupangia wanafunzi vyuo umesaidia kubalance, vinginevyo usingekuta mwanafunzi kichwa anaenda udom, Nina case Moja ya products nyingi za CBE especially dodoma kampasi kuwa na vilaza wengi ila Kuna kijana nilimpata aliyemaliza pale ni exceptional! Kwa hiyo pamoja na inputs za chuo chenyewe, na uwezo binafsi wa mwanafunzi unachangia kwa 70%Ni kweli kabisa lakini ukweli ni kwamba Magufuli atakumbukwa sana kwa kukibadilisha hiki chuo kuondokana na kuzalisha vilaza! Udom kimeboreka sana sana…
Akikujibu unitagKwambwa unaweza ukawa na dvsn I ya 3 na ukasoma Makumila au Mwl.Nyerere universities?
Mbona hakuna aliyeshusha chuo thamani. Hizo coment fedhuli baadhi ni za wanafunzi ambao bado wapo vyuoni,.kwahiyo usihangaike nazo, wakirudi mtaani adabu itakuwepo.Jamani kwani ufanisi wa mtu unapimwa na chuo alichosoma? Tusipende kushusha thamani ya chuo husika, unaweza ukawa umesoma udom lakini kichwani ukawa upo vizuri sana
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app