Maliza shule kwanza wewe ndiyo utaelewa. Wenzako wapo mtaani wanateseka ww unaleta utani.UDSM ni rare products wewe, wale huwa wao hawaombi hivyo viajira. Zikitoka zile ajira za maana huwa waajiri wanaenda Chuo na kuomba majina ya wanafunzi waliomaliza halafu wanawatafuta kuwaomba wakubali kujiunga na makampuni/taasisi/mashirika yao.
vikibaki hivi vinafasi vidogo ambavyo wanafunzi wa UDSM huwa wamevikataa ndiyo wanaenda kuvitangaza na hapo ndiyo utaona akina UDOM wakivugombea[emoji1][emoji1].
Hauwwzi ukakuta mwanafunzi wa UDSM akiwa mtaani[emoji3][emoji3]
Sema akyamunguMaliza shule kwanza wewe ndiyo utaelewa. Wenzako wapo mtaani wanateseka ww unaleta utani.
NAKAZIANa wengi waaajiriwa ni jinsia KE!!
Wacha weeeh😂😂UDSM ni rare products wewe, wale huwa wao hawaombi hivyo viajira. Zikitoka zile ajira za maana huwa waajiri wanaenda Chuo na kuomba majina ya wanafunzi waliomaliza halafu wanawatafuta kuwaomba wakubali kujiunga na makampuni/taasisi/mashirika yao.
vikibaki hivi vinafasi vidogo ambavyo wanafunzi wa UDSM huwa wamevikataa ndiyo wanaenda kuvitangaza na hapo ndiyo utaona akina UDOM wakivugombea😄😄.
Hauwwzi ukakuta mwanafunzi wa UDSM akiwa mtaani😀😀
Hizo accounts za ajira portal ni kwa ajili ya wanafunzi wa UDOM, na vyuo vya ualimu, manesi, clinicians, na vinginevyo.Wacha weeeh😂😂
Hebu maliza chuo kwanza, maana hata mfumo wa ajira wa siku hizi hata hauujui, account ya ajira portal tuu hauna.
[emoji16][emoji16][emoji16]acha masihar mkuuUDSM ni rare products wewe, wale huwa wao hawaombi hivyo viajira. Zikitoka zile ajira za maana huwa waajiri wanaenda Chuo na kuomba majina ya wanafunzi waliomaliza halafu wanawatafuta kuwaomba wakubali kujiunga na makampuni/taasisi/mashirika yao.
vikibaki hivi vinafasi vidogo ambavyo wanafunzi wa UDSM huwa wamevikataa ndiyo wanaenda kuvitangaza na hapo ndiyo utaona akina UDOM wakivugombea[emoji1][emoji1].
Hauwwzi ukakuta mwanafunzi wa UDSM akiwa mtaani[emoji3][emoji3]
Environment factor
Chuo kipo dodoma wao ni rahisi kufika na kupiga interview kwa cost ndogo
Nafikiri ivo.
Pambana kijana, the hustle is real..... Trust me, utaapply sana kazi lakini hautawahi kuwa hata kwenye shortlist😂Hizo accounts za ajira portal ni kwa ajili ya wanafunzi wa UDOM, na vyuo vya ualimu, manesi, clinicians, na vinginevyo.
Ukimaliza UDSM huwa unafuatwa nyumbani🤣🤣🤣
Habari za majukumu wanajukwaa.
Nimeona kama vile waajiriwa wengi wapya kwenye taasisi mbali mbali kwa sasa ni UDOM graduate's ukilinganisha na vyuo vingine. Mfano kuna taasisi moja mwezi uliopita kati ya waajiriwa wake 26, 12 ni graduate wa UDOM.
Ni kwamba wako competent sana kwenye Soko la ajira kwa sasa? Ni sababu zipi zinachangia, maana ajira za utumishi ni ngumu sana kimemo kutumika.
Najua humu kuna HR Officers wengi waliwahi/wanaendesha interview kupitia utumishi kwa naiba ya taasisi zao. Hebu tupeni maoni yenu mnapokutana nao hao vijana kwenye hizo interview zenu labda nitabadilisha msimamo wangu, maana ni kama siamini.
Ni kweli kabisa lakini ukweli ni kwamba Magufuli atakumbukwa sana kwa kukibadilisha hiki chuo kuondokana na kuzalisha vilaza! Udom kimeboreka sana sana…Samahani mtoa mada hivi hiki sinikilichuo wakati kinaanza graduate wake walikuwa wadau kuwa hawaajiriki hamna taasisi ilikuwa ikiwataka. Kumbe mambo hubadirika inabidi tuwapongeze kwa hilo from zero to hero.