Inakuwaje graduates wa UDOM wanafaulu sana sahili za Utumishi?

UDSM ya zamani sio sasa,sasa hivi karibia kila mtu anasoma pale,fatilia utajaelewa.
Vyuo pia inategemea na course kuna baadhi ya vyuo kozi fulani wako vizuri sana ukilinganisha na kozi zingine,hiyo ipo kila chuo
 
Lakini UDSM si wanasema inachukua wanafunzi wa division one tu, inakuwaje performance yake iwe sawa na vyuo vingine?
 
Wee unasoma wapi..? Au ulisoma wapi ...?
 
Lakini UDSM si wanasema inachukua wanafunzi wa division one tu, inakuwaje performance yake iwe sawa na vyuo vingine?
Uongo wewee

Kwamba huna uliomaliza nao wakawa na 2 or 3 yenye point 4 na wakaenda soma Archeology UD??

Course matters, sio suala la chuo kama chuo.
 
Pia suala la ofisi husika lina matter. Kuna maofisi/ mashirikia ukifika utasaka mtu wa Ud, Udom na usipate.
 
Uongo wewee

Kwamba huna uliomaliza nao wakawa na 2 or 3 yenye point 4 na wakaenda soma Archeology UD??

Course matters, sio suala la chuo kama chuo.
Lakini humu ndani UDSMers wanatuaminisha hivyo
 
Wasitudanganye, ili hali tuna marafiki waliosoma UD na wako kitaa wanafanya mambo ambayo hayahusiani na shule.

Labda wa miaka ya 2015 kurudi huko chini.
 
Lakini UDSM si wanasema inachukua wanafunzi wa division one tu, inakuwaje performance yake iwe sawa na vyuo vingine?
Nilimpeleka dogo langu ana div 3 naye amesoma pale main campus,kuna wengine nawajua marks zao sio nzuri kwakweli na wamesoma pale.
Mimi niliingia kwa ufaulu mzuri ila kwa sasa ni uongo
 
Inategemea na kada yenyewe kwa sasa mambo ya IT na computer UDOM inangoza kutoa competent graduate

Ila.kwa base ya agriculture overall kuna mnyama anaitwa SUA ndo katoa 97% ya walio lamba asali

So i thnk inategemea na kada
 
Acha ushamba wewe 😂😂..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…