Inakuwaje kamanda mkuu wa kijeshi Urusi anakuwa chini ya Wagner Group, kikundi kidogo cha kukodi?

Ungejua hao wagner group ni wakina nani wala usingeuliza hilo swali lako la kipumbavu. Baba hao watu ni hatari kuliko hatari yenyewe, hilo group linaongozwa na makomandoo wastaafu hodari sana na wanajeshi wastaafu waliokuwa mahili sana. Sasa jeshi gani linaweza likapuuza ushauri kutoka kwa watu kama wao
URAAAAAA

URAAAAAAA ⛏⛏
 
Putin amesha haribu anajuwa lazima atanyongwa kama mwenzake wa Iraq na Libya he know siku zake zinasoma kama mshale na hana ujanja kukwepa kifo. Amesha haribu anajuwa roho za wa Ukraine zina mlilia na anajuwa nayeye anaenda kufa same like wale wazee na watoto amewauwa.
Anajuwa vita alio iyanzisha nilazima atalipa trillion of dollar as compassesion kwa Ukraine anajuwa pesa hiyo itatoka kwenye mafuta na gas anayochimba mbaya kuliko yote mpaka vitukuu watalipa hasara anaileta. Putin is dead person who live and time will tell
Nilipoona tu umeandika; 'he know' na 'compassesion' tayari nikawa nimethibitisha kuwa hili ni debe tupu(empty cane).
 
Putin amesha haribu anajuwa lazima atanyongwa kama mwenzake wa Iraq na Libya he know siku zake zinasoma kama mshale na hana ujanja kukwepa kifo. Amesha haribu anajuwa roho za wa Ukraine zina mlilia na anajuwa nayeye anaenda kufa same like wale wazee na watoto amewauwa.
Anajuwa vita alio iyanzisha nilazima atalipa trillion of dollar as compassesion kwa Ukraine anajuwa pesa hiyo itatoka kwenye mafuta na gas anayochimba mbaya kuliko yote mpaka vitukuu watalipa hasara anaileta. Putin is dead person who live and time will tell
Kuna ndoto uliota mwaka Jana kuwa Putin atakufa hiyo '22. Vipi na hii ikauwa episode ya pili ya hiyo ndoto?
 
Putin amesha haribu anajuwa lazima atanyongwa kama mwenzake wa Iraq na Libya he know siku zake zinasoma kama mshale na hana ujanja kukwepa kifo. Amesha haribu anajuwa roho za wa Ukraine zina mlilia na anajuwa nayeye anaenda kufa same like wale wazee na watoto amewauwa.
Anajuwa vita alio iyanzisha nilazima atalipa trillion of dollar as compassesion kwa Ukraine anajuwa pesa hiyo itatoka kwenye mafuta na gas anayochimba mbaya kuliko yote mpaka vitukuu watalipa hasara anaileta. Putin is dead person who live and time will tell
Unaongea ushuzi baridi. Unadhani Putin ni Gadafi au Sadam Hussein!!??
 
Wakuu habari za muda,

Nimeshangazwa sana kuona sasa kamanda mkuu wa majeshi ya Urusi sasa anapokea amri kutoka kwa kamanda wa kikundi kidogo cha Wagner Group amacho sio jeshi rasmi ni kikundi maalum cha kukodi baada ya makamanda wengi wa Urusi kufeli na kuuliwa kwenye makabiliano ya vita kule Ukrean.

Hii itakuwa imekaaje na vita ndio kwanza tunaambiwa ni mbichi mizigo inaendelea kutumwa Ukraine toka Ujerumani na Marekani.

Taifa kubwa kama la Urusi ambalo tuliambiwa ni kubwa zaidi ukitoa lile Marekani kijeshi ulimwenguni sasa makamanda wao wanapokea amri toka Wagner Group. Ni habari za kusikitisha sana, Majeshi na makanda wa Urusi wenye weledi leo wako wapi?
huo ni uelewa wako, za kuambiwa changanya na za kwako
 
Wagner ni Jeshi kama majeshi mengine..Tofauti ni kuwa haipo chini ya Serikali... Japo kuna wanaosema kuwa ina mkono wa serikali ndani yake.... Yaani ni kama UDART vile

Maafisa wake wengi na Wanajeshi, Makachero, Makomandoo na Wabobezi wa kazi hiyo. Na wanalipa vizuri sana.

Hivyo kuna baadhi ya maeneo wamekabidhiwa WAO kuendesha operesheni (Commanding authority) , So ulipaswa kujua protocols za muingiliano wa jeshi la serikali na Wagner kabla ya kuleta maneno yako hapa.

PIA UTUAMBIE NI AMRI GANI HIYO!
 
Yaani unavyokiita kikundi ni kama vile cha SACCOS au cha jumuiya ya kanisa hapo mtaani kwenu.

Kikundi kinakomboa miji kwenye vita dhidi ya Ukraine na mataifa ya NATO yakisaidia. WAGNER nzima wakiamua kuja wanatusoma JW na sisi wenyewe tunaelekea kibla

Ipe heshima yake kwanza ndo ujadili.
 
Back
Top Bottom