Hali zenu wadau msaada tafadhali nahitaji kujua kuhusu transfer za TCU zinatoka lini naona kimya na vyuo ndio hivyo vishafunguliwa
nackia matokeo ya transfer yanatoka alhamisi,
tuendelee kusubr mkuu maana hawa tcu washatugeuza mazoba hata simu zetu hawataki kupokea sa hv
duh mbona mbali sana . mkuu nani kakupa hizi taarifa
Boy tutumie hizo nAmba zao tuwaSiliAne nao!

Kwa kwel ni shidah maana chuo nilipochaguliwa dedlin tar 15 alaf tcu hawatoi jibu lolote,si kuna hatari ya kukosa kote hapa?
transfer ilikuwa kwa kozi ileile ya mwanzo tu mfano kama ni BBA UMEPANGIWA udom NA unataka kwenda labda Tumaini Iringa ni hivo ila sio Education kwenda BBA au BBA kwenda Education,, maelezo walishatoa kwamba "the same course" na course nyingine hapo ni lazima ufanye ukiwa umeshafika chuoni na iwe wiki 3 baada ya chuo kufungua Muwe mnasoma izuri maelezo nashauri hivyo,, usisome nusunusu.. kama ulifanya Transfer ya kozi moja kwenda nyingne usipoteze muda wewe manayake ulikosea maelekezo
tumechoka kusubiri

Mkuu hata transfer to medical related programmes hujaielewa nini maana yake