Inakuwaje kuhusu transfer za TCU

Inakuwaje kuhusu transfer za TCU

Hali zenu wadau msaada tafadhali nahitaji kujua kuhusu transfer za TCU zinatoka lini naona kimya na vyuo ndio hivyo vishafunguliwa

tuendelee kusubr mkuu maana hawa tcu washatugeuza mazoba hata simu zetu hawataki kupokea sa hv
 
Boy tutumie hizo nAmba zao tuwaSiliAne nao!

0764925144 hii n namba ya mmoja wa wafanyakazi wa tcu ila namba yao rasnmi ipo kwenye web yao ya tcu. jaribu mkuu labda unaweza wapata
 
Kwa kwel ni shidah maana chuo nilipochaguliwa dedlin tar 15 alaf tcu hawatoi jibu lolote,si kuna hatari ya kukosa kote hapa?

Hivi mbona naambiwa hapa kuwa ukichelewa faini laki ila pia vyuo vimetofautiana ukiambiwa zaidi ya hapo huna pakuhemea
 
Wakuu
mimi nataka kufanya transfer kutoka udom kwenda NIT je kwa sasa nimechelewa
Pia kwa anaejua kuhusu private candidate mana nimeskia ukiomba kama private candidate unapata chuo chochote haijalishi.
Mwenye uelewa kidogo anifahamishe tafadhari
 
transfer ilikuwa kwa kozi ileile ya mwanzo tu mfano kama ni BBA UMEPANGIWA udom NA unataka kwenda labda Tumaini Iringa ni hivo ila sio Education kwenda BBA au BBA kwenda Education,, maelezo walishatoa kwamba "the same course" na course nyingine hapo ni lazima ufanye ukiwa umeshafika chuoni na iwe wiki 3 baada ya chuo kufungua Muwe mnasoma izuri maelezo nashauri hivyo,, usisome nusunusu.. kama ulifanya Transfer ya kozi moja kwenda nyingne usipoteze muda wewe manayake ulikosea maelekezo
 
Mmmmmh kaka wapi walisema hivyoooooo kuwa kozi ni ile ile....tcu ndo walitoa maelezo hayoooo
 
transfer ilikuwa kwa kozi ileile ya mwanzo tu mfano kama ni BBA UMEPANGIWA udom NA unataka kwenda labda Tumaini Iringa ni hivo ila sio Education kwenda BBA au BBA kwenda Education,, maelezo walishatoa kwamba "the same course" na course nyingine hapo ni lazima ufanye ukiwa umeshafika chuoni na iwe wiki 3 baada ya chuo kufungua Muwe mnasoma izuri maelezo nashauri hivyo,, usisome nusunusu.. kama ulifanya Transfer ya kozi moja kwenda nyingne usipoteze muda wewe manayake ulikosea maelekezo

Yan ww kumbe una tcu yako. Sasa zile available slots za nn kama wanahamisha course hyo hyo!
 
transfer ilikuwa kwa kozi ileile ya mwanzo tu mfano kama ni BBA UMEPANGIWA udom NA unataka kwenda labda Tumaini Iringa ni hivo ila sio Education kwenda BBA au BBA kwenda Education,, maelezo walishatoa kwamba "the same course" na course nyingine hapo ni lazima ufanye ukiwa umeshafika chuoni na iwe wiki 3 baada ya chuo kufungua Muwe mnasoma izuri maelezo nashauri hivyo,, usisome nusunusu.. kama ulifanya Transfer ya kozi moja kwenda nyingne usipoteze muda wewe manayake ulikosea maelekezo

haha dah povu limekutoka...
 
Ni kwel kabsa hakuna siri hapo kuhusu walofanya transfer kuwa mikopo Yao itachukua mda mrefu kuwafikia..mwaka Jana kuna jamaa wawili walimalza old moshi walifanya transfer kutok must kuna ardhi kiukwel walpata transfer ila unfortunately of the story jamaa ilibid waondoke chui coz mkop wao ulichukua mwaka Mzima ndo tumeapply nao chui mwaka huu .Kwan hakuw na pesa za kujikimu.....USHAURI WANGU KWA ALIEFANYA TRANSFER AJIANDAE KIKAMILIFU KUISHI NA PESA Za mzaz wake za kutosha..kama kuna anaebisha minor namba ya hiyo jamaa..asanten
 
Mkuu hata transfer to medical related programmes hujaielewa nini maana yake

hahaaa...mpe shule kaka huyo...hakuelewa naonaa...duuh...ama kweli elimu yetu noma...alafu utamkuta ni mwanachuo huyo...hata lugha haipandi...duuuuh...
 
transfer ilikuwa kwa kozi ileile ya mwanzo tu mfano kama ni BBA UMEPANGIWA udom NA unataka kwenda labda Tumaini Iringa ni hivo ila sio Education kwenda BBA au BBA kwenda Education,, maelezo walishatoa kwamba "the same course" na course nyingine hapo ni lazima ufanye ukiwa umeshafika chuoni na iwe wiki 3 baada ya chuo kufungua Muwe mnasoma izuri maelezo nashauri hivyo,, usisome nusunusu.. kama ulifanya Transfer ya kozi moja kwenda nyingne usipoteze muda wewe manayake ulikosea maelekezo

Mkuu naona itakuwa umechanganya madawa ebu irudie tcu transfer vzur utaona, cheki 2(iv) alafu uangalie na tena 4, ungeelewa kuwa haikuwa na umuhimu wa kuweka namba 4 kama ingekuwa inamaana ya maelezo uliyoyatoa

Tanzania Commission for Universities Transfer Procedures 1. Introduction TCU had been experiencing a number of applicants seeking transfer after the announcement of selection results. Due to that reason, TCU hereby announces transfer procedures as follow: 2. How to Transfer i) Selected applicants who wish to transfer from one institution to another will be required to send their applications to TCU by filling application form available on TCU website basing on the available slots on TCU website and send it via email: admission@tcu.go.tz . ii) TCU will process their applications basing on requirements and available slots. iii) The successful applicants will be notified by TCU via their mobile numbers so as to pay the transfer fee of T.Sh. 30,000/- iv) TCU will then re-allocate them to respective programmes/institutions. v) The list of transferred applicants will then be posted on TCU website. 3. Transfer fee i) There will be a transfer fee of Tsh. 30,000/- for applicants who will be transferred. Only successful applicants will be required to pay the transfer fee after receiving notification via mobile numbers informing them their transfer applications have been accepted. ii) The transfer fee will be paid via TCU account numbers: a) CRDB 01J1026795702 b) CBA (Commercial Bank of Africa) 115600100015 iii) After paying the transfer fee they will be required to scan and send their pay in slip to TCU through the email: admission@tcu.go.tz those in Dar es salaam they may submit their pay in slips physically at TCU, admission offices. 4. Transfer within Institutions However for the transfer within the institutions for applicants who wish to transfer from one programme to another, institutions will be allowed to
 
Back
Top Bottom