Harry Mapande
Senior Member
- May 18, 2020
- 109
- 363
Bwasheee mwenyekiti wenu mwezi mchanga huwa hajui nini anaongea,mifano ni mingi sana ukiacha hao waliokimbilia siasa...wko wengine mtaani wanafanya kazi zingine,kwenye taasisi za kigeni,ukulima,biashara ila mikopo yao wanalipa kama kawaida.Ndio tunao madaktari waliokacha taaluma zao na kugombea ubunge ili wapate maslahi makubwa na mazuri zaidi.
Je, hawa wako kundi gani?
Hawa wameacha kabisa kutibu tofauti na wale wanaoendelea kutumikia taaluma zao katika sekta binafsi au kwenye taasisi za dini na zile za kijamii.
Maendeleo hayana vyama!
Mwalimu siyo daktari uwe unaelewa bwashee!Magufuli aliacha Kazi ya ualimu akaenda kuwa mkemia kiwanda cha pamba.
Akaacha Kazi kiwanda cha pamba akaenda kugombea ubunge
Boresheni mishahara na maslahi ya watumishi wa umma acheni porojo.
Ninavyoamini Mimi ni kuwa duniani hamna haki,naule msemo mwenye nachoataongezewa na asiye nacho atanyanganywa hatakile kidogo alichonacho,ndio hii.Ndio tunao madaktari waliokacha taaluma zao na kugombea ubunge ili wapate maslahi makubwa na mazuri zaidi.
Je, hawa wako kundi gani?
Hawa wameacha kabisa kutibu tofauti na wale wanaoendelea kutumikia taaluma zao katika sekta binafsi au kwenye taasisi za dini na zile za kijamii.
Maendeleo hayana vyama!
Ndio tunao madaktari waliokacha taaluma zao na kugombea ubunge ili wapate maslahi makubwa na mazuri zaidi.
Je, hawa wako kundi gani?
Hawa wameacha kabisa kutibu tofauti na wale wanaoendelea kutumikia taaluma zao katika sekta binafsi au kwenye taasisi za dini na zile za kijamii.
Maendeleo hayana vyama!
Wakati huo serikali iliweza kuwaajiri wahitimu wote? Kwa sasa inaweza kuajri wahitimu wote wanaomaliza?Yuko sahihi kabisa.
Sisi tulipomaliza chuo ilikuwa ni lazima kuitumikia serikali kwa miaka 5 kabla hujaenda sekta binafsi au haujajiajiri!
Mawazo haya ndio yanayotufanya tudumae katika elimu. Mawazo yanayotufanya tufikiri ualimu ni kwa ajili ya waliofeli tukisahau kuwa mpaka mtu awe daktari ni lazima awe amepitia kwenye mikono ya walimu kibao!Mtu yoyote anaweza kuwa mwalimu lakini siyo kila mtu anaweza kuwa daktari bwashee.
Utabibu ni wito tena ni ibada!
Mwulize Mwenyekiti wako wa chama. Na ninyi wanachama mmeanza kuelewa kuwa Mwenyekiti wenu kuna wakati anaamka vibaya?Ndio tunao madaktari waliokacha taaluma zao na kugombea ubunge ili wapate maslahi makubwa na mazuri zaidi.
Je, hawa wako kundi gani?
Hawa wameacha kabisa kutibu tofauti na wale wanaoendelea kutumikia taaluma zao katika sekta binafsi au kwenye taasisi za dini na zile za kijamii.
Maendeleo hayana vyama!
Wakati huo mlikuwa mnakopeshwa?Yuko sahihi kabisa.
Sisi tulipomaliza chuo ilikuwa ni lazima kuitumikia serikali kwa miaka 5 kabla hujaenda sekta binafsi au haujajiajiri!
Umechangia ujinga. Hujawahi kusikia uwalimu ni wito? Kila taaluma, mwezeshaji ni mwalimu.Waalimu wote ni wanasiasa bwashee!
Ila daktari ana umaalumu wa kipekee popote pale duniani.
Kutibu ni ibada!
Bwashee, kuna kuzeeka ila we unachakaa aisee [emoji23][emoji23][emoji23] maana sio kwa majibu hayo!!Waalimu wote ni wanasiasa bwashee!
Ila daktari ana umaalumu wa kipekee popote pale duniani.
Kutibu ni ibada!
Watu wamekimbia wazazi wao walio wazaa, walea na kuwasomesha pia... 'Sambusa' sirikali!!Yuko sahihi kabisa.
Unamkimbiaje aliyekusomesha?
Mkuu, unataka kuasi kambi?Ndio tunao madaktari waliokacha taaluma zao na kugombea ubunge ili wapate maslahi makubwa na mazuri zaidi.
Je, hawa wako kundi gani? Hawa wameacha kabisa kutibu tofauti na wale wanaoendelea kutumikia taaluma zao katika sekta binafsi au kwenye taasisi za dini na zile za kijamii.
Maendeleo hayana vyama!
Hivi huyu si ndio aliropoka kipindi fulani kuwa mwajiriwa wa serikali asiyeridhika na mshahara anaolipwa basi aache kazi aende atakakolipwa mshahara wa kumridhisa?