Inakuwaje kwa madaktari tuliowasomesha lakini wamekimbilia bungeni kufuata maslahi mazuri!

Inakuwaje kwa madaktari tuliowasomesha lakini wamekimbilia bungeni kufuata maslahi mazuri!

Jibu ni ni masilai mazuri yanayo tolewa bila vitisho vya migomo ndio uwavitia kukimbilia huko bungeni
 
Ndio tunao madaktari waliokacha taaluma zao na kugombea ubunge ili wapate maslahi makubwa na mazuri zaidi.
Je, hawa wako kundi gani?

Hawa wameacha kabisa kutibu tofauti na wale wanaoendelea kutumikia taaluma zao katika sekta binafsi au kwenye taasisi za dini na zile za kijamii.

Maendeleo hayana vyama!
Bwasheee mwenyekiti wenu mwezi mchanga huwa hajui nini anaongea,mifano ni mingi sana ukiacha hao waliokimbilia siasa...wko wengine mtaani wanafanya kazi zingine,kwenye taasisi za kigeni,ukulima,biashara ila mikopo yao wanalipa kama kawaida.
Meko inamatatizo ya kukurupuka n jazba
 
Rais yupo sahihi kabisa, arejeshwe huyo Dkt. Rais wetu mzalendo sana. Unahitaji uelewa wa ziada kumsoma rais.
 
Magufuli aliacha Kazi ya ualimu akaenda kuwa mkemia kiwanda cha pamba.
Akaacha Kazi kiwanda cha pamba akaenda kugombea ubunge

Boresheni mishahara na maslahi ya watumishi wa umma acheni porojo.
Mwalimu siyo daktari uwe unaelewa bwashee!
 
Ndio tunao madaktari waliokacha taaluma zao na kugombea ubunge ili wapate maslahi makubwa na mazuri zaidi.
Je, hawa wako kundi gani?

Hawa wameacha kabisa kutibu tofauti na wale wanaoendelea kutumikia taaluma zao katika sekta binafsi au kwenye taasisi za dini na zile za kijamii.

Maendeleo hayana vyama!
Ninavyoamini Mimi ni kuwa duniani hamna haki,naule msemo mwenye nachoataongezewa na asiye nacho atanyanganywa hatakile kidogo alichonacho,ndio hii.
 
Ndio tunao madaktari waliokacha taaluma zao na kugombea ubunge ili wapate maslahi makubwa na mazuri zaidi.
Je, hawa wako kundi gani?

Hawa wameacha kabisa kutibu tofauti na wale wanaoendelea kutumikia taaluma zao katika sekta binafsi au kwenye taasisi za dini na zile za kijamii.

Maendeleo hayana vyama!

Kabisa, na wale waliokimbia vyama vya upinzani kwenda kuunga juhudi mbona hajasema wakamatwe warudi kwenye vyama vyao, wakati walilipwa walipokuwa kwenye vyama vyao? Hapo ndio ninasema tuna rais asiyejua nini maana ya urais, zaidi ya ulevi wa madaraka.
 
Yuko sahihi kabisa.

Sisi tulipomaliza chuo ilikuwa ni lazima kuitumikia serikali kwa miaka 5 kabla hujaenda sekta binafsi au haujajiajiri!
Wakati huo serikali iliweza kuwaajiri wahitimu wote? Kwa sasa inaweza kuajri wahitimu wote wanaomaliza?
 
Mtu yoyote anaweza kuwa mwalimu lakini siyo kila mtu anaweza kuwa daktari bwashee.

Utabibu ni wito tena ni ibada!
Mawazo haya ndio yanayotufanya tudumae katika elimu. Mawazo yanayotufanya tufikiri ualimu ni kwa ajili ya waliofeli tukisahau kuwa mpaka mtu awe daktari ni lazima awe amepitia kwenye mikono ya walimu kibao!

Amandla...
 
Ndio tunao madaktari waliokacha taaluma zao na kugombea ubunge ili wapate maslahi makubwa na mazuri zaidi.
Je, hawa wako kundi gani?

Hawa wameacha kabisa kutibu tofauti na wale wanaoendelea kutumikia taaluma zao katika sekta binafsi au kwenye taasisi za dini na zile za kijamii.

Maendeleo hayana vyama!
Mwulize Mwenyekiti wako wa chama. Na ninyi wanachama mmeanza kuelewa kuwa Mwenyekiti wenu kuna wakati anaamka vibaya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona husemi kuna watu waliacha ualimu wenye maslahi duni wakakimbilia ubunge wa kujilipa million zaidi ya 10 bila hata kuchangia hoja yoyote?
 
Yuko sahihi kabisa.

Sisi tulipomaliza chuo ilikuwa ni lazima kuitumikia serikali kwa miaka 5 kabla hujaenda sekta binafsi au haujajiajiri!
Wakati huo mlikuwa mnakopeshwa?

Unazumgumzia vipindi visivyowianika. Ni nyakati zile ambapo mwanachuo ulisoma bure, halafu na kupewa mshahara wa kima cha chini ambao kwa wakati huo ilikuwa sh 600 kwa mwezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JK alitulipizia pakubwa sana kuliko tulivyo msema awamu yake, inatakiwa atuombe msamaha kwa alicho tuachia dah

Kuna walimu walisomeshwa kwa pesa za kodi wakakimbilia warudi kazini kwao
 
Ndio tunao madaktari waliokacha taaluma zao na kugombea ubunge ili wapate maslahi makubwa na mazuri zaidi.
Je, hawa wako kundi gani? Hawa wameacha kabisa kutibu tofauti na wale wanaoendelea kutumikia taaluma zao katika sekta binafsi au kwenye taasisi za dini na zile za kijamii.

Maendeleo hayana vyama!
Mkuu, unataka kuasi kambi?

cc:

YEHODAYA

Huyo mwezi mchanga asikuumize kichwa
Hivi huyu si ndio aliropoka kipindi fulani kuwa mwajiriwa wa serikali asiyeridhika na mshahara anaolipwa basi aache kazi aende atakakolipwa mshahara wa kumridhisa?
 
Back
Top Bottom