Waalimu wote ni wanasiasa bwashee!
Ila daktari ana umaalumu wa kipekee popote pale duniani.
Kutibu ni ibada!
Mlisomeshwa bure na hakuna hata senti tano mlikuwa nairudishia serikali. Hivyo, ilikuwa halali kufanya kazi serikalini 5 years.Yuko sahihi kabisa.
Sisi tulipomaliza chuo ilikuwa ni lazima kuitumikia serikali kwa miaka 5 kabla hujaenda sekta binafsi au haujajiajiri!
Double Standards za kiwango cha sgr.Wamechepuka wengi tu na wengine baada ya kukosa ajira wamegeuka Machinga,hao nao wasakwe watulipe fedha zetu za mkopo wa elimu ya juu.Huyu mtu ni mgonjwa. Acheni ubishi. Mpeni matibabu stahiki tena toka kwa huyo daktari aliyemnanga kabla hali haijawa mbaya zaidi.
Kwani na nyinyi mlikopeshwa kama Sasa?Yuko sahihi kabisa.
Sisi tulipomaliza chuo ilikuwa ni lazima kuitumikia serikali kwa miaka 5 kabla hujaenda sekta binafsi au haujajiajiri!
Kwani sasa wanakopeshwa na bank gani?Kwani na nyinyi mlikopeshwa kama Sasa?
Mi nadhani kuna fyuzi haziko sawa kwa huyu jamaa.Ndio tunao madaktari waliokacha taaluma zao na kugombea ubunge ili wapate maslahi makubwa na mazuri zaidi.
Je, hawa wako kundi gani?
Hawa wameacha kabisa kutibu tofauti na wale wanaoendelea kutumikia taaluma zao katika sekta binafsi au kwenye taasisi za dini na zile za kijamii.
Maendeleo hayana vyama!
Maajabu hayoKama vile yeye mwenyewe alivyokacha ualimu na kuingia kwenye siasa.