Inakuwaje Makonda anatangaza kutokuwepo kwa mfumo wa vyama vingi?

Inakuwaje Makonda anatangaza kutokuwepo kwa mfumo wa vyama vingi?

Kuna wakati naamini ukiwa mwanachama wa CCM naamini automatically tu kuna dhambi unayo.
 
Watu wanao jielewa hawaitajiki kwenye nchi yenu ya Tanzagiza. Ukiwa una jielewa hupati nafasi yoyote🤣🤣🤣

Matokeo yake sasa ndio hayo​
 
Ati CHADEMA nao wanatupa makombora.

😆😆😆😆😆😆
This is the best response wamekuja nayo??

Sishangai, nasikitika.
 
Niambie kilifutwa lini na kwa sheria gani?
Kuna Genge/kundi la watu wa "familia" moja i. e marafiki ambao ni waporaji /wezi/majambazi yanayotumia nguvu ya majeshi kukandamiza umati uliobakia................hiki siyo chama cha siasa ni genge la makaburu weusi wakiongozwa na johnthebaptist bibi kidawa
 
Back
Top Bottom