Inakuwaje Makonda anatangaza kutokuwepo kwa mfumo wa vyama vingi?

Huyu jamaa ni scapegoat wa 2025. Mzee wa jumba bovu.
 
Kuna wakati naamini ukiwa mwanachama wa CCM naamini automatically tu kuna dhambi unayo.
 
Watu wanao jielewa hawaitajiki kwenye nchi yenu ya Tanzagiza. Ukiwa una jielewa hupati nafasi yoyote🀣🀣🀣

Matokeo yake sasa ndio hayo​
 
Ati CHADEMA nao wanatupa makombora.

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
This is the best response wamekuja nayo??

Sishangai, nasikitika.
 
Niambie kilifutwa lini na kwa sheria gani?
Kuna Genge/kundi la watu wa "familia" moja i. e marafiki ambao ni waporaji /wezi/majambazi yanayotumia nguvu ya majeshi kukandamiza umati uliobakia................hiki siyo chama cha siasa ni genge la makaburu weusi wakiongozwa na johnthebaptist bibi kidawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…