Inakuwaje Mambo haya??

Inakuwaje Mambo haya??

Hata sidhani kama yule alikuwa anaambiwa nlikuwa naambiwa mie ............nahisi mtima wa bwana ulikuwa zaidi kwa yule mie kwke alinichukulia mapozeo tu sikulijua hilo kuna siku tulikuwa wote barabarani tukapishana na huyo bi dada naye kapakizwa garini sijui na mnani basi wee.....nlijionea maajabu.... mkaka alitamani kuingiza gari chini ya uvungu wa lorry. Kumwuliza anajibaraguza nkamshushia vipande vyake ..........afu anabisha eti kwenye lile gari alokuwa anaendesha ni mwanamke loh.............mwishoni alikujaletewa mimba ya Mzimbabwe!!

Inatosha, hebu pumzikeni kuwashushua hao maswitihati wenu waliovunja uswitinesi wenu.....@NY/MJ1.
 
hii sredi acha niiprint, kuna zembe flani tangu jana linakuja kulia lia hapa home kwangu, madam wake samtaimu halali home yeye bado linalia lia tu na linategemea atabadilika, eti huko nyuma hakuwa hivyo. kinachonikera, yeye linanyimwa na waifu wake halaf linakuja home namimi linaninyima uhuru wa kuangushana na waifu ukumbini mchana mchana, hakyanani likiendelea nitaita polisi. Tusing'ang'anie sana bana hizi vitu zipo kila kona kasoro jela, ni uamuzi tu.
 
Mwanajamii1,

Kweli mimi haya mambo hata siyaelewagi..mapenzi bwana sometimes ni pasua kichwa!
Sikia hii, nilikuwa nadate na kaka fulani ila nikawa naona hana upendo pia ukaribu nami badi nikaamua kuongea nae. Unajua alichoniambia ni nini?eti anampenda sana dada fulani, ambae by coincidence ni wajina wangu yani 'Belinda' halafu mbaya zaidi nilisoma nae darasa moja primay na mpaka leo tu marafiki..
Hata sikumng'ang'ania japo niliumia sana sema sikuwa na jinsi kuachana nae. Akawa anapeleka majeshi yake kwa huyo another Belinda nae kumbe hakuwa na mpango kabisa na huyu kaka mana alikuwa na mpenzi wake.
Baada ya miaka kama miwili, huyu kaka sijui alipata wapi mawasiliano yangu mapya na kunipigia simu anataka tuonane..Kweli nilimshangaa sana, nakumbuka niliitikia wito na kwenda kuongea nae kwa mgahawa fulani...by then niko kwenye uhusiano mwingine.
Sasa akaanza kunielezea hajaacha kunipenda na bla bla zake..nilimuambia mimi nilikupenda na sasa hauko kabisa moyoni mwangu..nimeanza maisha mapya na hauko ndani yake! hakuamini alidhani labda nilikufa nimeoza kwake ila kiukweli alinitoka kabisa..
Sijui yupo wapi sasa ila alinizingua kweli kweli!!
 
halafu una hasira nyamayao,unawekaje hasira mda mrefu ivo watu kama hao usiwawekee hasira ni kuwatazama tu wakatafakari huko mbele ya safari.Hujawasikia na wale wanakuambia hawa watoto wangekuwa wa kwangu unabaki kucheka tu,na mashetani yake yakimtuma simu kwa kwenda mbele na marafiki zake kuja kukueleza upuuzi.

nina hacra nalo sana sio cri, kwanza linanisumbua sana, pili nakoswa koswa matatizo na msukuma kwa ajili yake,kuna cku alisababisha kasheshe s'market, kunical ndio ucseme, cnaga hata no yake linatumia nos tofauti tofauti, dec nilikuwa naenda njoro nikawapeleka watoto kupata chochote pale changbay nimeenda kuwanunuliwa watoto maji narudi nje nakuta kambeba kijana wangu, kumbe lilikuwa linajua ntaenda njoro so likaniwindia wapi cjui mpaka likatukuta pale, mwili ulinccmka nikackia kudondoka kabisa, sasa lenyewe halijui kama huu usumbufu ndio unanifanya nazidi kulichukia..ki ukweli nalichukia sana.
 
Mwanajamii1,

Kweli mimi haya mambo hata siyaelewagi..mapenzi bwana sometimes ni pasua kichwa!
Sikia hii, nilikuwa nadate na kaka fulani ila nikawa naona hana upendo pia ukaribu nami badi nikaamua kuongea nae. Unajua alichoniambia ni nini?eti anampenda sana dada fulani, ambae by coincidence ni wajina wangu yani 'Belinda' halafu mbaya zaidi nilisoma nae darasa moja primay na mpaka leo tu marafiki..
Hata sikumng'ang'ania japo niliumia sana sema sikuwa na jinsi kuachana nae. Akawa anapeleka majeshi yake kwa huyo another Belinda nae kumbe hakuwa na mpango kabisa na huyu kaka mana alikuwa na mpenzi wake.
Baada ya miaka kama miwili, huyu kaka sijui alipata wapi mawasiliano yangu mapya na kunipigia simu anataka tuonane..Kweli nilimshangaa sana, nakumbuka niliitikia wito na kwenda kuongea nae kwa mgahawa fulani...by then niko kwenye uhusiano mwingine.
Sasa akaanza kunielezea hajaacha kunipenda na bla bla zake..nilimuambia mimi nilikupenda na sasa hauko kabisa moyoni mwangu..nimeanza maisha mapya na hauko ndani yake! hakuamini alidhani labda nilikufa nimeoza kwake ila kiukweli alinitoka kabisa..
Sijui yupo wapi sasa ila alinizingua kweli kweli!!
heheheeeeeeeee

Huyo kaka kama tulivyo wengi (both males and females) tunasahau kwamba love just like any other life encounter has a shelf life and if not nurtured well inakufa

I used to love one girl to death, and she knew it all along... and once she told me that even though nimeoa sina ujanja kwake coz she has all the keys to my love life... ALICHOKA!! AND NOW SHE REALLY HATES ME
 
very fun....hahaha kweli wengi tumepitia kashikashi za mapenzi jamani...alirudi kujificha mvua, ikiisha akampata aliepo moyoni anakutosa tena ukiwa rahic rahic unakuja kush2kia kijua kimeshazama mkaka amempata aliompenda kwa dhati unabaki kuckilizia maumivu/kuomboleza...
 
hii sredi acha niiprint, kuna zembe flani tangu jana linakuja kulia lia hapa home kwangu, madam wake samtaimu halali home yeye bado linalia lia tu na linategemea atabadilika, eti huko nyuma hakuwa hivyo. kinachonikera, yeye linanyimwa na waifu wake halaf linakuja home namimi linaninyima uhuru wa kuangushana na waifu ukumbini mchana mchana, hakyanani likiendelea nitaita polisi. Tusing'ang'anie sana bana hizi vitu zipo kila kona kasoro jela, ni uamuzi tu.

wewe cjui kama mzima kweli...hahaha
 
inawezekana yupo hapa hapa JF. angalia PM yako kwa makini.
 
hii sredi acha niiprint, kuna zembe flani tangu jana linakuja kulia lia hapa home kwangu, madam wake samtaimu halali home yeye bado linalia lia tu na linategemea atabadilika, eti huko nyuma hakuwa hivyo. kinachonikera, yeye linanyimwa na waifu wake halaf linakuja home namimi linaninyima uhuru wa kuangushana na waifu ukumbini mchana mchana, hakyanani likiendelea nitaita polisi. Tusing'ang'anie sana bana hizi vitu zipo kila kona kasoro jela, ni uamuzi tu.
dUH... Mkuu hadi leo unamlea huyo anayekuja kulia-lia??

Mpe kubwa aende zake, PENZI HALILAZIMISHWI BANA, LINATAKIWA LIINGIE SMOOTH KAMA VILE UNAPOFANYA MAPENZI... ndio maana ya ile kitu kuwa vile, it is an expression of soulmates contacts, ikiashakauka basi na penzi lake huwa hivyohivyo
 
nina hacra nalo sana sio cri, kwanza linanisumbua sana, pili nakoswa koswa matatizo na msukuma kwa ajili yake,kuna cku alisababisha kasheshe s'market, kunical ndio ucseme, cnaga hata no yake linatumia nos tofauti tofauti, dec nilikuwa naenda njoro nikawapeleka watoto kupata chochote pale changbay nimeenda kuwanunuliwa watoto maji narudi nje nakuta kambeba kijana wangu, kumbe lilikuwa linajua ntaenda njoro so likaniwindia wapi cjui mpaka likatukuta pale, mwili ulinccmka nikackia kudondoka kabisa, sasa lenyewe halijui kama huu usumbufu ndio unanifanya nazidi kulichukia..ki ukweli nalichukia sana.

hapo kwenye bold, Nyamayao mpe kubwa huyo asije akavuruga familia yako.
 
dUH... Mkuu hadi leo unamlea huyo anayekuja kulia-lia??

Mpe kubwa aende zake, PENZI HALILAZIMISHWI BANA, LINATAKIWA LIINGIE SMOOTH KAMA VILE UNAPOFANYA MAPENZI... ndio maana ya ile kitu kuwa vile, it is an expression of soulmates contacts, ikiashakauka basi na penzi lake huwa hivyohivyo
mkuu njemba iliwahi kunikopesha hela past tense, sasa kuitimua laiv inaweza ikaanzisha mgogoro wa katiba. Lakini kama mpaka ijumaa itaendelea kuja kuomboleza nyumbani kwangu, naita polisi halaf najifanya kama sielewi nani kaita polisi. hapa ninapoishi, sheria ya kuita polisi ni very confidential.
 
mapenzi ni kizungumkuti. hajatabiriki, ivi kuna binadamu hajawahi kuumizwa???

mie hata sitakagi kukumbuka, niliumizwa na penzi hadi nikalala kitandani (nikaugua), ila namshukuru Mungu nilimpata wa kunishika mkono na kunionyesha njia.
 
heheheeeeeeeee

Huyo kaka kama tulivyo wengi (both males and females) tunasahau kwamba love just like any other life encounter has a shelf life and if not nurtured well inakufa

I used to love one girl to death, and she knew it all along... and once she told me that even though nimeoa sina ujanja kwake coz she has all the keys to my love life... ALICHOKA!! AND NOW SHE REALLY HATES ME

Kweli kabisa, kama huyu jamaa aliendesha kichwa changu kweli!..being experienced, love can end totally kama vitu vingine!!tena mtu akikupenda ukamchukulia for granted ni mbaya sana..
Pole na wewe kwa huyo binti, yani alijiamini umekufa na kuoza kwake..things change na changes zinakuwaga vice versa mpaka aliyekuwa anapendwa na kukuzingua anabaki ameduwaa!!..
MTM sijui wewe ni mpenzi wa movie zipi, ila umewahi kuiona movie inaitwa The Holiday(2006)..if not, icheki!!..kuna scenario kama hiyo mtu kapendwa na kudengua tena kumchumbia dada mwingine, mwisho wa siku anaenda kujishaua kwa dada aliyemdengulia..sasa maneno na reaction aliyopata hakuamini kuwa yule dada aliyempenda kabadilika vile...Yani, the lady had the courage to move on after being treated like nothing!!..
aah mapenzi bwana, ni kitu kinachotuchanganya sana!!
 
Dahhh
Mambo kama haya yaposana
Lakini kitu nilichogundua huwezi
king'ang'ania penzi ..utahangaika
juu chini kumshikilia lakini kama penzi halipo
hatashikika...

Borea uishi pekee
Yako .kuliko kuishi na mtu
Ambaye mwili tu ndo uko hapo
akili, mawazo, roho, na kila kitu
internally kiko kwa mtu mwingine..

o sababu mbili tu
zinazofanya watu wasiopendana
Kuishi pamoja nazo ni mali na familia
.
a bit louder my love....

mimi nimeona sentenzi hio tu kwenye hii sredi tukufu

CIAO
 
[/B]

hapo kwenye bold, Nyamayao mpe kubwa huyo asije akavuruga familia yako.

Ikunda...nimeshamuonyesha njia zote kwamba namchukia na haiwezekaniki lakini bado tu linasumbua, kunivurugia hawezi sema inaleta picha mbaya kwa mr..cjui y halijichokei likatulia.
 
very fun....hahaha kweli wengi tumepitia kashikashi za mapenzi jamani...alirudi kujificha mvua, ikiisha akampata aliepo moyoni anakutosa tena ukiwa rahic rahic unakuja kush2kia kijua kimeshazama mkaka amempata aliompenda kwa dhati unabaki kuckilizia maumivu/kuomboleza...

Acha tu besti haya mambo naona yanapitia wengi sana, karibia dunia nzima..sijui wanapendwaga hivi wanahisi wanaweza kufanya chochote kwa wanaowapenda ili mradi wamezimikiwa basi wanajiona wako in charge!..kama ulivyosema ukiwa legelege, akijisikia kukuchezea anajua 'button ya kupress' haalafu hamna kitu zaidi ya hapo!! agrrr
 
Inatosha, hebu pumzikeni kuwashushua hao maswitihati wenu waliovunja uswitinesi wenu.....@NY/MJ1.
Mbona wao sasa hawatupumzishi?? kila kukicha haloow mpenzi wangu wa zamani..........kama ni zamani si usinihallow
 
mkuu njemba iliwahi kunikopesha hela past tense, sasa kuitimua laiv inaweza ikaanzisha mgogoro wa katiba. Lakini kama mpaka ijumaa itaendelea kuja kuomboleza nyumbani kwangu, naita polisi halaf najifanya kama sielewi nani kaita polisi. hapa ninapoishi, sheria ya kuita polisi ni very confidential.
duh, wewe kweli klorokwin

Dawa yake simpo sana... chukua mamsapu yako anza kuchapia sebuleni, ikigonga mlango unatoka na ndom inaning'inia na kumwambia asubiri nje ukimaliza kukamua utamfungulia

HAJI TENA HUYO HADI KWA EMAIL
:love:
 
Back
Top Bottom