Wimbo
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 866
- 625
uteuzi haufanywi kwa siku moja, most likely na utaratibu lazima apewe taarifa kuhusu uteuzi huo kama anakubali au la. ukiona hivyo kimuhemuhe cha kuteuliwa kilimfanya akawa overwhelmed akaendesha gari akiwa na furaha ya kupita kiasi akaishia kujinyonga kwenye ajari kama si yeye alikuwa anaendesha usikute alimwambia dereva wake akimbie kinyume na maagizo ya usalama barabarani, any way apumzike kwa amani, na wanaosubilia uteuzi wa nafasi yake waendelee kusubili.
