Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
HahahahahaRafiki wewe mwenyewe wa ndani unajua huwa sileti habari za uongo.
Ni kiasi cha muda tu kila mmoja atakiri hilo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahahaRafiki wewe mwenyewe wa ndani unajua huwa sileti habari za uongo.
Ni kiasi cha muda tu kila mmoja atakiri hilo.
Aisee....Kwahiyo possibly kifo chake si cha kawaida pia. Huenda alikuwa mwiba kila alikokuwa anapelekwa.
Uteuzi umefanyika huku kukiwa na timu nyingine inamwinda kumla kichwa na wakati anaenda kuripoti timu ya mauaji ikawa nayo imefanikiwa sasa ile taharuki wakajikuta wamemiss mawasiliano au mwenyezi Mungu tu akaamua kuwaumbua.
Naamini kifo chake kina utata sana.
Itakuwa.....Kwahiyo Kilolo wanaongozwa kutoka Mbinguni. Hahaaa . Kilolo wametuzidi
Ukisema ni jambo dogo na linarekebishika utashindwa kuweka mstari, Dkt. atakata mkono wa mwanao tofauti na maelekezo ya matibabu na kusema ni kosa dogo la kibinadamu..utakubali? Kosa ni kosa bila kujali limetendwa wapi na nani!Mkuu. Ukijua na kukubali kwamba HAKUNA BINADAMU ALIYE MKAMILIFU ninaamini hutaona ni kitu cha ajabu sana kwa jina la marehemu kuwepo miongoni mwa walioteuliwa kwani umauti ulimpata mhusika siku moja tu kabla ya jina lake kuwepo kwenye list ya wateule.
Halafu kosa hilo ni kosa linalosahihishika (curable) kwa kufanya replacement ya mtu mmoja tu.
Mbona tunaikuza sana dosari ndogo hivi na kuipa hadhi ya kuwa ni kosa kubwa? Tukio hili Halisameheki na wala halivumiliki kana kwamba ni Grave Offence?
Mimi nakubali kwamba ni kweli inashangaza lakini ninaona(kwa maoni yangu) ni jambo dogo na la kwaida na marekebisho yanaweza kufanyika mapema na mchezo ukamalizika. (I stand to be corrected)
jMilton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi
How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?
View attachment 3010470
Kosa linapewa uzito kwa kuangalia Madhara yatokanayo na kosa hilo.Ukisema ni jambo dogo na linarekebishika utashindwa kuweka mstari, Dkt. atakata mkono wa mwanao tofauti na maelekezo ya matibabu na kusema ni kosa dogo la kibinadamu..utakubali? Kosa ni kosa bila kujali limetendwa wapi na nani!
Punguza hasira yaani hasira zote hizi sababu ya marehemu? au chuki sasa mmepata sababu ya kuongea. Suti sijui mishahara yanakuhusu nini? ukitaka suti kanunue vaa tu sio big issue. Maisha hayataki hasira, Ikulu binadamu tu kama wewe hakuna malaika pal
🤣Punguza hasira yaani hasira zote hizi sababu ya marehemu? au chuki sasa mmepata sababu ya kuongea. Suti sijui mishahara yanakuhusu nini? ukitaka suti kanunue vaa tu sio big issue. Maisha hayataki hasira, Ikulu binadamu tu kama wewe hakuna malaika pale.
Secretary anatupigaNi kama Rais anategewa kwa maksudi na wasaidizi wake ili abebe lawama na aibu yeye
Na bahati mbaya nadhani walishamjua udhaifu wake kuwa huwa hapitii na kusoma kile kimeletwa mezani
Wasidizi wake hawafanyi kazi ipasavyo, wanamfanyia maksudi mh Rais, na tunapoelekea uchaguzi mkuu, kwangu mimi naona ni kama wanaajenda yao ya siri
Najiuliza pia, ikiwa jambo dogo kama hilo limefanyika, tupo salama kwa kiasi gani kwenye mikataba ya kimataifa iliyosainiwa?