dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Lengo Ni kututoa kwenye reli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nachotaka kujua ni kama Ikulu imeomba radhi Kwa wanafamilia na Taifa Kwa ujumla...Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi.
How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?
View attachment 3010470
Hapo ndio mnapofeli Christian kila kitu mnaona mnastahili nyinyi kwenye hii nchi mambo aliyoyafanya baba wa taifa kwa muslims yanajulikana Bora utulie tu mkuu.Kama ikulu kajaza watu wengi wa karibu swala Tano maeneo nyeti hayo ndio matokeo yake
Swala Tano Huwa Wana kelele sana ohh tunataka vyeo wakipewa sio watendaji wazuri sana
Ina maana Hadi mfumo wa TISS anaoutegemea uliopo Ikulu kazi wameshindwa hicho kiti kilitakiwa kujulikana mapema au kama wapi weledi wanezira wanawaachia eapiga Domo kujipendekeza Kwa Raisi kuwa haya fanyeni wenyewe nyie sio ndio wenyewe ndio matokeo hayo Hadi jina la maiti linaingia kwenye uteuzi
Achaga udini wewe!Kama ikulu kajaza watu wengi wa karibu swala Tano maeneo nyeti hayo ndio matokeo yake
Swala Tano Huwa Wana kelele sana ohh tunataka vyeo wakipewa sio watendaji wazuri sana
Ina maana Hadi mfumo wa TISS anaoutegemea uliopo Ikulu kazi wameshindwa hicho kiti kilitakiwa kujulikana mapema au kama wapi weledi wanezira wanawaachia eapiga Domo kujipendekeza Kwa Raisi kuwa haya fanyeni wenyewe nyie sio ndio wenyewe ndio matokeo hayo Hadi jina la maiti linaingia kwenye uteuzi
Hii inaweza ikawa mwarobaini: "Rais anayemaliza muda wake anaondoka na wasaidizi wake wote"Nchi ambazo zinaona mbele wanakotaka kwenda..zina njia 2 kudeal na case za mazoea ya kazi na connections kwa watu wa ikulu au wasaidizi wa kiongozi anayechaguliwa, moja aidha katiba inaagiza Rais anayechaguliwa kuanza na watu/wasaidizi wote wapya..Rais anayemaliza muda wake anaondoka na wasaidizi wake wote, au pili..Rais mpya anaunda timu yake mpya..hakuna case za mazoea, kila jambo ikulu linapata attention 100%..watu wapya maana yake mtizamo mpya, mawazo mapya, mifumo mipya, tabia mpya nk..
Nchi yetu inasumbuliwa na wastaafu wanaoacha watu wao ikulu..siwez shangaa pengine hata watu wa enzi za awamu ya kwanza bado wapo ikulu kulinda interest za awamu ya kwanza..kwa staili hii nchi kupiga hatua za maendeleo ni ndoto..mwendazake alisema mara kadhaa kwa kulalamika..."hizi ndio shida za kuchomekewa" yaani aliowakuta ikulu wanamchomekea sababu wao wanajua kuliko yeye..aliwakuta na atawaacha, na kweli aliwaacha akaenda zake!
Kuna Wasaidizi wa Rais anaokuja nao na kuna watumishi wa Serikali ambao wao wanakuwa muda wote ikulu. Wanaweza wakabadilishwa na Serikali tu yaani Chief of Staff, Wengine wanamuita Katibu Mkuu Kiongozi kwa uhamisho wa kiserikali.Nchi ambazo zinaona mbele wanakotaka kwenda..zina njia 2 kudeal na case za mazoea ya kazi na connections kwa watu wa ikulu au wasaidizi wa kiongozi anayechaguliwa, moja aidha katiba inaagiza Rais anayechaguliwa kuanza na watu/wasaidizi wote wapya..Rais anayemaliza muda wake anaondoka na wasaidizi wake wote, au pili..Rais mpya anaunda timu yake mpya..hakuna case za mazoea, kila jambo ikulu linapata attention 100%..watu wapya maana yake mtizamo mpya, mawazo mapya, mifumo mipya, tabia mpya nk..
Nchi yetu inasumbuliwa na wastaafu wanaoacha watu wao ikulu..siwez shangaa pengine hata watu wa enzi za awamu ya kwanza bado wapo ikulu kulinda interest za awamu ya kwanza..kwa staili hii nchi kupiga hatua za maendeleo ni ndoto..mwendazake alisema mara kadhaa kwa kulalamika..."hizi ndio shida za kuchomekewa" yaani aliowakuta ikulu wanamchomekea sababu wao wanajua kuliko yeye..aliwakuta na atawaacha, na kweli aliwaacha akaenda zake!
Jakay ma na Mwinyi walikua perfect?Kosa la Dr Samia ni lile lile waliolofanya Mwl Nyerere, Ben Mkapa na John Magufuli ya kupenda Chama kuliko Taifa.
Mwisho wanaonemeeka ni kakundi kadogo ka watu wasiozidi Milioni Moja tu.
The return of the dead haha!
Nje ya mada kabisaKama ikulu kajaza watu wengi wa karibu swala Tano maeneo nyeti hayo ndio matokeo yake
Swala Tano Huwa Wana kelele sana ohh tunataka vyeo wakipewa sio watendaji wazuri sana
Ina maana Hadi mfumo wa TISS anaoutegemea uliopo Ikulu kazi wameshindwa hicho kiti kilitakiwa kujulikana mapema au kama wapi weledi wanezira wanawaachia eapiga Domo kujipendekeza Kwa Raisi kuwa haya fanyeni wenyewe nyie sio ndio wenyewe ndio matokeo hayo Hadi jina la maiti linaingia kwenye uteuzi
Baso serikali inaonyesha ikoovyovyo sbb haiwezeksni huyo mtu kateuliwa kiwa mkurige zi wa VETA ,,,hapo hapo ukamteau kuwa DC,,kwanini??Bw. MILTON LUPA KENDE MALAMU!
Huyu Jamaa mwanzoni alikuwa;
1. Mkurugenzi wa NFRA, baadaye akawa
2. Mkurugenzi wa NBAA
3. Akiwa NBAA ndo akateuliwa kuwa Mkurugenzi wa VETA Tanzania.
4. Uteuzi huo aliupata siku ya Ijumaa tarehe 31.05.2024.
5. Siku ya tarehe 02.06.2024 akiwa njiani kutoka Tanga kuja Dodoma kuripoti kuwa Mkurugenzi wa VETA akapata ajali ya gari maeneo ya Dumila Morogoro na kufariki Dunia.
6. Kumbe Jumatatu angeripoti na kuanza kazi kwa siku ya Jumanne na Jumatano jana tu leo angepata uteuzi huu mpya.
Apumzike kwa amani.
Hata kama ulifanyika nyuma sasa siku mkeka ulipotoka ndio hoja ilipo ! Mkeka umetoka leo mtu alishafariki jana….sasa hapo uoni hakuna umakini? Yani hata angefariki dakika 10 kabla ya mkeka kutoka walipaswa kujua hilo!Kwani unadhani uteuzi Huwa unafanywa siku Moja au ndani ya mda mchache kabla ya kutangazwa?
We nae ni kichekesho maana hapa tuna angalia mtu amekufa lini na mkeka umetoka lini?😂😂😂😂😂Siyo kichekesho, acha kuidogosha Taasisi ya Urais. Tofauti ya siku kati ya ajali na yeye kuteuliwa ni ndogo sana.
Uteuzi ni mchakato ambao ulianza few days/ weeks ago. Sioni kama hii ni discrepancy ya kujadili.
Tumuombee tu marehemu Milton Lupa apumzike kwa amani
Wanamksakanankwa sbb yamekuwa yakifanyika makosa ya aina hiyo yanayojirudia.Haya yanafanya watu wahisi kukosekana umakini kama huu inawezakusababisha hata kwenye mamikataba mbalimbali tukachomekewa harafu nchi ikaingia hasara bureKosa linapewa uzito kwa kuangalia Madhara yatokanayo na kosa hilo.
Katika hili la uteuzi wa marehemu (tena sio kwa kudhamiria) kuna madhara gani yaliyotokana na uteuzi huo ukiachilia hili la Serikali kuonekana haiko makini na watu mitandaoni kuisakama Serikali/Mamlaka ya Uteuzi?
Mambo ya serikali ndivyo yalivyo...The return of the dead haha!
Inasikitisha sana
Kuchelewa kupata taarifa ndio uzembe. Sio mara moja. State inachelewaje kupata taarifa kwa mfano. State ndio nchi, hakuna excuses ya kujustify, ni uzembe Na hii inaanzia kwa Boss
[/ waulize ndugu zake kama walipeleka taarifa
Kwa nchi "serious" wote wanaohusika na teuzi walipaswa kujiudhuru.Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi.
How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?
Pia, soma=> Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali. Zuhura Yunus aondolewa Ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu
Elimu yako ?Waulize