Inakuwaje Marehemu Milton Lupa anateuliwa mkeka mpya wa Rais?

Inakuwaje Marehemu Milton Lupa anateuliwa mkeka mpya wa Rais?

Aliwezaje kua hata kiongozi wa vikoba 🤔 lakini ni sawa mtu alizungusha kidato cha nne ndoto yake kuu ni kua muhudumu wa ndege mgawa karanga na vinywaji alafu unategemea kupata kilicho bora kutoka kwake kwenye nafasi kubwa kama aliyopo ambayo inahitaji mtu mwenye uwezo mkubwa wa akili 🤔
 
Yupo hapo kujaza nafasi isiwe wazi
 
hivi kuna chawa anayeweza akasimama kumtetea rais kwa kuteuwa marehemu?

Na kama rais anahujumiwa, hao watu ameshindwa kuwawajibisha?

Nb: Rais ni nembo ya taifa akipatwa na aibu, tumepata taifa zima.
Inasemekana watu wa karibu yake wengi ni ndugu zake wa damu ndio maana anashindwa kuwawajibisha.
 
Ni kama Rais anategewa kwa maksudi na wasaidizi wake ili abebe lawama na aibu yeye

Na bahati mbaya nadhani walishamjua udhaifu wake kuwa huwa hapitii na kusoma kile kimeletwa mezani

Wasidizi wake hawafanyi kazi ipasavyo, wanamfanyia maksudi mh Rais, na tunapoelekea uchaguzi mkuu, kwangu mimi naona ni kama wanaajenda yao ya siri

Najiuliza pia, ikiwa jambo dogo kama hilo limefanyika, tupo salama kwa kiasi gani kwenye mikataba ya kimataifa iliyosainiwa?
CCM ni chama mfu na imedhihirika wazi!
 
Kosa linapewa uzito kwa kuangalia Madhara yatokanayo na kosa hilo.
Katika hili la uteuzi wa marehemu (tena sio kwa kudhamiria) kuna madhara gani yaliyotokana na uteuzi huo ukiachilia hili la Serikali kuonekana haiko makini na watu mitandaoni kuisakama Serikali/Mamlaka ya Uteuzi?
Kama taasisi inayoaminiwa kulinda maslahi ya nchi inashindwa kufahamu taarifa za mtu wanayetarajia kumpa kazi kwa kujua au kutokujua..vipi hayo mambo mengine yanayohitaji ufatiliaji wa kina, mikataba ya nchi, hujuma za kibiashara na uchumi nk wanao huo uwezo kdiri inavyopaswa? Madhara ya kutoaminika/mistrust kwa unayofanya athari zake ni kubwa na za muda mrefu.
 
Hapo kwenye kauli hii ".....mambo mengine yanayohitaji ufatiliaji wa kina, mikataba ya nchi, hujuma za kibiashara na uchumi nk wanao huo uwezo kadiri inavyopaswa? Madhara ya kutoaminika/mistrust kwa unayofanya athari zake ni kubwa na za muda mrefu." uko sahihi kabisa mkuu. Ni muhimu sana kuwashtua ili Serikali na Watendaji wengine wasi wa-Underestimate wananchi na wajue kwamba waTz wa sasa sio wale wa mwaka 47 na kufanya mambo "Business as Usual"
 
Nmeomba hyo kazi naona umereact kwa emoji ya kicheko, was that funny?
Nisamehe nimechukulia kama unaitania anyway bahati mbaya hii story kama miaka 3 nyuma kwa hiyo nilipata mtu mbadala.
 
Huenda adm wa ikulu mawasiliano hakuwa na info ya tukio la ajali.! Kwanza ajali imetokea siku moja au mbili kabla ya mkeka.! Ila wabongo tunapenda sana kutupiana lawama. Alafu pia jamaa hakuwa mtu maaru kuwa kila mtu atamjua kwa wakati ule ajali inatokea.! Sio kila kitu tunatupiana mawe wazee wangu kuna mistakes sio za kwenda viral kiasi hicho.!
Ni zaidi ya ujinga kutangaza jina la mtu pasina kujua km leo yupo au hayupo..kwa nini kwenye wasifu muhusika unaweka contacts zako na za wadhamini angalau watatu..maana yake nini hasa? Zipo kazi hupaswi kuchukulia poa na mazoea sababu utatangaza kitu cha ajabu na kushusha credibility ya taasisi nzima wakati ilikuwa kitu rahis tu, masaa 6 kabla ya tangazo kucheki nae muhusika kujua yuko wapi ili kujiridhisha kuwa ulichopanga kutangaza kiko sawa!
 
Hapo kwenye kauli hii ".....mambo mengine yanayohitaji ufatiliaji wa kina, mikataba ya nchi, hujuma za kibiashara na uchumi nk wanao huo uwezo kadiri inavyopaswa? Madhara ya kutoaminika/mistrust kwa unayofanya athari zake ni kubwa na za muda mrefu." uko sahihi kabisa mkuu. Ni muhimu sana kuwashtua ili Serikali na Watendaji wengine wasi wa-Underestimate wananchi na wajue kwamba waTz wa sasa sio wale wa mwaka 47 na kufanya mambo "Business as Usual"
Kama yupo mtu hapo ikulu ufahamu wake umejengwa kwenye msingi wa kuona watz km watu rahisi wasiojali mambo..basi ikulu yote ina watu wa hovyo, alipataje kazi ikulu mtu wa aina hiyo?
 
Kama yupo mtu hapo ikulu ufahamu wake umejengwa kwenye msingi wa kuona watz km watu rahisi wasiojali mambo..basi ikulu yote ina watu wa hovyo, alipataje kazi ikulu mtu wa aina hiyo?
Ikulu imejaza chawa. Ikulu kuna ki-jamaa kimoja kizenji nasikia kinamega wasanii kama hakina akili nzuri. Kinahonga mpaka milioni 100 halafu kinajifanya ni ki-mtu cha dini kweli kweli.
 
Kama yupo mtu hapo ikulu ufahamu wake umejengwa kwenye msingi wa kuona watz km watu rahisi wasiojali mambo..basi ikulu yote ina watu wa hovyo, alipataje kazi ikulu mtu wa aina hiyo?
Yeah. Hayo ni mojawapo ya madhara ya "Connections" katika kupata Ajira.
 
Nchi ambazo zinaona mbele wanakotaka kwenda..zina njia 2 kudeal na case za mazoea ya kazi na connections kwa watu wa ikulu au wasaidizi wa kiongozi anayechaguliwa, moja aidha katiba inaagiza Rais anayechaguliwa kuanza na watu/wasaidizi wote wapya..Rais anayemaliza muda wake anaondoka na wasaidizi wake wote, au pili..Rais mpya anaunda timu yake mpya..hakuna case za mazoea, kila jambo ikulu linapata attention 100%..watu wapya maana yake mtizamo mpya, mawazo mapya, mifumo mipya, tabia mpya nk..
Nchi yetu inasumbuliwa na wastaafu wanaoacha watu wao ikulu..siwez shangaa pengine hata watu wa enzi za awamu ya kwanza bado wapo ikulu kulinda interest za awamu ya kwanza..kwa staili hii nchi kupiga hatua za maendeleo ni ndoto..mwendazake alisema mara kadhaa kwa kulalamika..."hizi ndio shida za kuchomekewa" yaani aliowakuta ikulu wanamchomekea sababu wao wanajua kuliko yeye..aliwakuta na atawaacha, na kweli aliwaacha akaenda zake!
 
Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi.

How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?

View attachment 3010470
Halafu bado Msukuma atabishiwa kuwa wasomi wengi wa Tanzania ni vilaza!

Halafu bado Jumanne Kishimba atakejeliwa kuwa anawadharau wasomi kwa vile tu "utafiti" wake umemwonesha kuwa asilimia tisini ya wasomi wa Tanzania wanajua tu kusoma na kuandika!

Halafu bado Serikali itambishia Profesa Assad aliyesema kuwa asilimia sitini ya watumishi wa umma hawana uwezo!

"Endeleeni" na ubishi ilhali matokeo yanawaumbua!!!
 
Back
Top Bottom