Kama viongozi wetu wanashindwa kujiridhisha na mambo madogo na muhimu kama haya, sipati picha kama hayo mavitabu ya mikataba kama huwa wanayasoma, nafikiri huwa wanaishia kuweka saini Tu pengine pasipo kufahamu ni kitu kilichoandikwa humo ndani.Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi
How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?
View attachment 3010470
Kuchelewa kupata taarifa ndio uzembe. Sio mara moja. State inachelewaje kupata taarifa kwa mfano. State ndio nchi, hakuna excuses ya kujustify, ni uzembe Na hii inaanzia kwa BossHakuna uzembe hapo, bali ikulu ilichelewa kupata taarifa za kifo chake, yeye aliteuliwa pengine mwezi mmoja kabla ya kifo chake.Na sidhani kama hiyo ajali au kifo kilitangazwa na vyombo vya habari vikubwa.
Ningekuwa ni mimi mpaka nione cheti cha kifo!Umakini kukosekana katika sekta zote kuanzia uteuzi, mikataba, makubaliano, vipau mbele listi ni ndefu sana ...
Wewe na kakampuni kako kakuchimba mashimo ya choo sio ikulu. Hebu kuwa na akili hata za kuzaliwa kama ulikosa za shule. Unazungumzia Ikulu iliyojaza wimbi la watu wenye taaluma mbalimbali kama msaada kwa rais , mfagizi wa ikulu anamshahara zaidi ya medical specialist, a medical specialist in TZ Anakula 1.5 take home .you can imagine .Mbona mimi nilikuwa nampigia mfanyakazi wangu wa zamani nilitaka nimrudishe kazini nimeshampangia kila kitu, kupiga simu kimyaa nikaona nimpigie Rafiki yake, Fulani yupo wapi nampigia simu imezimwa... kama kashangaa hivi, ananiambia jamaa tumeanza kumsahau kafariki kama mwezi hivi ajali ya boda boda. Anyway unajuwa kuna watu sio maarufu huyu kama sio teuzi hizi si ajabu hata tusingejuwa kama amefariki. Lakini leo tunajuwa amefariki sababu ya teuzi tu.
Sasa watu wa teuzi wanakuwa na majina mengi marehemu hakuwa maarufu si ajabu na wao leo ndio wamejuwa huyu mtu kafariki. Kuna watu hawajakata roho nchi nzima watajuwa sababu ya kujulikana majina yao yanauza wengine hawajulikani na majina hayauzi. Marehemu kapata kick leo kila mtu atatoa pole sababu ya teuzi...
Unatumia app gani kupata hz emoji?Hao ndio ccm kashangae pengine
Punguza hasira yaani hasira zote hizi sababu ya marehemu? au chuki sasa mmepata sababu ya kuongea. Suti sijui mishahara yanakuhusu nini? ukitaka suti kanunue vaa tu sio big issue. Maisha hayataki hasira, Ikulu binadamu tu kama wewe hakuna malaika pale.Wewe na kakampuni kako kakuchimba mashimo ya choo sio ikulu. Hebu kuwa na akili hata za kuzaliwa kama ulikosa za shule. Unazungumzia Ikulu iliyojaza wimbi la watu wenye taaluma mbalimbali kama msaada kwa rais , mfagizi wa ikulu anamshahara zaidi ya medical specialist, a medical specialist in TZ Anakula 1.5 take home .you can imagine .
Any bread of shame ikulu haipaswi kutokea and if ningekuwa sehemu ya maamuzi ningeondoa chain ya uteuzi kuanzia boss mwenyewe.
Mishahara na privelege mbalimbali na masuti suti kila mahali but hakuna Umakin, shame . Hakuna justification , IKULU ni nchi huwezi kujua reputation ya samia imekuwa damaged kiasi gani kwa kuteua marehemu. And this is not the first time , fatilia barua za ikulu utaelewa.
Tulishawahi kuteua underdog kwenye shirika nyeti.shame
No justification, small things matters a lot kujua tunaongozwa na watu wa aina gani, I wonder terms za mikatabq kweli kama zinapitiwa vema , itakuwa ni mambo ya kushusha wino tu aiseeeee,
Ndiyo mjue hatupo salama, tukiongea hapa tunaonekana tuna chuki binafsiMilton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi
How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?
View attachment 3010470
Kama huna hata baiskeli usitoe maoni asema msemaji waoHao ndio ccm kashangae pengine
Mkuu. Ukijua na kukubali kwamba HAKUNA BINADAMU ALIYE MKAMILIFU ninaamini hutaona ni kitu cha ajabu sana kwa jina la marehemu kuwepo miongoni mwa walioteuliwa kwani umauti ulimpata mhusika siku moja tu kabla ya jina lake kuwepo kwenye list ya wateule.Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi
How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?
Maza hajui mambo kibao, c unakumbuka pia aliwahi kusema nchi ina dola kuzidi ht pato la taifa la USA..Maza aliwahi kuteua mtu asiyekuwa na vigezo, wala background, kuwa DG wa Tpdc. Jamaa kolifikeshen yake ilikuwa ni Uvccm.
..kwa kifupi, huyu Maza hayuko makini, na inaelekea hajui vitu vingi sana.
.. Haiwezekani file la uteuzi wa DG wa shirika nyeti kama Tpdc lifike mezani kwake halafu afanye maamuzi kama yale.
NDIOO MAANA ALISEMAA MH MMOJA KUNA VIONGOZI WENGI SIO RAIA AA TANZANIA SASA NIMEMWELEEWA KAMA HAYA YANATOKEA USISHANGAE WANYARWANDA WAKAJAZANA WIZARAN NA VYEO VIKUBWA TUMilton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi
How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?
View attachment 3010470
Naskia wamejaa sana BOT, Fedha na taasisi nyeti.NDIOO MAANA ALISEMAA MH MMOJA KUNA VIONGOZI WENGI SIO RAIA AA TANZANIA SASA NIMEMWELEEWA KAMA HAYA YANATOKEA USISHANGAE WANYARWANDA WAKAJAZANA WIZARAN NA VYEO VIKUBWA TU
Kwani hatujateua?KUNA SIKU TUTATEUA MRUNDI WAZIRI MKUU NIKOPALEE