Inakuwaje Marehemu Milton Lupa anateuliwa mkeka mpya wa Rais?

Kama ikulu kajaza watu wengi wa karibu swala Tano maeneo nyeti hayo ndio matokeo yake

Swala Tano Huwa Wana kelele sana ohh tunataka vyeo wakipewa sio watendaji wazuri sana

Ina maana Hadi mfumo wa TISS anaoutegemea uliopo Ikulu kazi wameshindwa hicho kiti kilitakiwa kujulikana mapema au kama wapi weledi wanezira wanawaachia eapiga Domo kujipendekeza Kwa Raisi kuwa haya fanyeni wenyewe nyie sio ndio wenyewe ndio matokeo hayo Hadi jina la maiti linaingia kwenye uteuzi
 
Hapo ndio mnapofeli Christian kila kitu mnaona mnastahili nyinyi kwenye hii nchi mambo aliyoyafanya baba wa taifa kwa muslims yanajulikana Bora utulie tu mkuu.
 
Achaga udini wewe!
 
Hii inaweza ikawa mwarobaini: "Rais anayemaliza muda wake anaondoka na wasaidizi wake wote"
Naona kama hiyo πŸ‘† πŸ‘† πŸ‘† ndo engine overhaul.
 
Kuna Wasaidizi wa Rais anaokuja nao na kuna watumishi wa Serikali ambao wao wanakuwa muda wote ikulu. Wanaweza wakabadilishwa na Serikali tu yaani Chief of Staff, Wengine wanamuita Katibu Mkuu Kiongozi kwa uhamisho wa kiserikali.

Wanaoondoka na Rais anayemaliza muda wake ni wale anaokuja nao ambao kimsingi wanakuwaga wasaidizi wa mambo yake tu ya kisiasa ila mifumo ya urais yote inakuwa chini wa waandamizi anaowakuta na kuwaacha.

Hii ndo ipo hivi hata Marekani.
 
Kosa la Dr Samia ni lile lile waliolofanya Mwl Nyerere, Ben Mkapa na John Magufuli ya kupenda Chama kuliko Taifa.

Mwisho wanaonemeeka ni kakundi kadogo ka watu wasiozidi Milioni Moja tu.
Jakay ma na Mwinyi walikua perfect?
 
N Nje ya mada kabisa
 
Baso serikali inaonyesha ikoovyovyo sbb haiwezeksni huyo mtu kateuliwa kiwa mkurige zi wa VETA ,,,hapo hapo ukamteau kuwa DC,,kwanini??
 
Kwani unadhani uteuzi Huwa unafanywa siku Moja au ndani ya mda mchache kabla ya kutangazwa?
Hata kama ulifanyika nyuma sasa siku mkeka ulipotoka ndio hoja ilipo ! Mkeka umetoka leo mtu alishafariki jana….sasa hapo uoni hakuna umakini? Yani hata angefariki dakika 10 kabla ya mkeka kutoka walipaswa kujua hilo!
 
We nae ni kichekesho maana hapa tuna angalia mtu amekufa lini na mkeka umetoka lini?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wanamksakanankwa sbb yamekuwa yakifanyika makosa ya aina hiyo yanayojirudia.Haya yanafanya watu wahisi kukosekana umakini kama huu inawezakusababisha hata kwenye mamikataba mbalimbali tukachomekewa harafu nchi ikaingia hasara bure
 
Waulize
Kuchelewa kupata taarifa ndio uzembe. Sio mara moja. State inachelewaje kupata taarifa kwa mfano. State ndio nchi, hakuna excuses ya kujustify, ni uzembe Na hii inaanzia kwa Boss
[/ waulize ndugu zake kama walipeleka taarifa
 
Kwa nchi "setious"
Kwa nchi "serious" wote wanaohusika na teuzi walipaswa kujiudhuru.

Maana hiyo inaonesha uzembe wa hali ya juu.

Sasa kama vitu vidogo kama hivi vinashindikana, itakuwaje kwa makubwa?!
 
Mano likwelikwe marehemu anakula uteuzi noma sanA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…