Inakuwaje Mchina aweke sh. Elfu 60 kwenye madubwi na kuvuna mpaka laki 5 kila siku na serikali ipo?

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Sasa mpaka vijijini wamefikiwa, mchina kajaza slots machines.

M Machine zake nyingi ni sh. 200 ambapo yeye huweka sh. Elfu 60 tu , sawa na sarafu 300 tu za sh. 200 ya Kitanzania.

Akiweka anaondoka baada ya masaa 24 anapitia mawindo yake. Hupata mpaka laki 5 au zaidi wakati mwingine.

Hivi ni nani aliyeroga Taifa hili?

Kwa siku mabilioni mangapi yanapotea na kupelekwa Uchina kwa haya madubwi?
Kwa mwaka ni trillions ngapi?

Dar es salaam kila kichochoro wanaweza, kila kwenye baa n.k.

Ni nani karoga hili Taifa.
 
Hivi hizi kitu ni mchina tu au kuna wenzetu wanaopiga hizi kazi ila kwa mgongo wa mchina,,,,,maana kuna wahuni wameshajua hii nchi kuna mambo ili yaende tumia mgeni, ukiingia mwenyewe mzawa biashara itakua na misukosuko mingi sana, haya madubwi yangeletwa na Jilala sidhani kama yangenawiri hivi.....ni mawazo tu
 
Ujinga wako mwenyewe alafu unataka serekali ikutetee?
Sio kosa lako , ni udumavu wako wa kufikiri.
Athari ya hayo madubwi iko pande 2.
Mosi: Taifa kupoteza mabilioni. Mzunguko wa fedha unakuwa unstable
Pili: Uchumi wa mtu mmoja mmoja na familia za wahanga kutetereka.
Mimi sijazungumzia athari nambari mbili nilijua tu WATU wajinga wenye ufahamu duni mpo mngekuja juu.
Nikazungumzia nationally lakini wewe bado upumbavu na ujinga umekutawala umekuja kwenye athari nambari mbili ambayo sijaigusa kabisa.
Unadhani mabilioni wanayovuna wachina yanatumika hapa Tanzania?, kama yanavushwa huoni kuwa hapo kuna kosa la wazi kabisa la uhujumu uchumi.
Pole.
Vijana kama nyie mlipaswa kupokwa mpaka vyeti vya darasa la saba maana uelewa wenu ni wa level ya chekechea
 
Nyie ndo wale wajinga mnaoambiwa ukileta watu wawili na wawili wakileta wawili na wawili wakileta wawili wewe unaendelea kupata pesa na mnajipeleka wenyewe alafu baadae unailaumu serekali
 
Kuwa muelewa mkuu, adhari zake zinagusa mpaka wewe ambaye huchezi pesa za kigeni zinaenda china na zikipungua tunaenda kukopa WB ama ADB ama IMF
 
Hawa vijana uelewa wao ni finyu sana.
Ikiwezekana somo la uchumi na sheria liwe lazima kuanzia darasa la kwanza mpaka university
 
Hivi hizi kitu ni mchina tu au kuna wenzetu wanaopiga hizi kazi ila kwa mgongo wa mchina,,,,,maana kuna wahuni wameshajua hii nchi kuna mambo ili yaende tumia mgeni, ukiingia mwenyewe mzawa biashara itakua na misukosuko mingi sana, haya madubwi yangeletwa na Jilala sidhani kama yangenawiri hivi.....ni mawazo tu
Yapo ambayo ni binafs,unalinunua linakuwa lako unakuwa unavuna tu,mchina hausiki nalo
 
Kweli china inakubali mgeni achezeshe kamari ktk nchi yake?
Kwanini huyu mchina wamempa uhuru wa kusambaza hizi mashine hadi vijijini kwa wananchi ambao kipato chao ni cha chini sana? Inaniuma sana .

Thubutu, ukijaribu hutamaliza hata nusu saa wameshakudaka
 
Sasa mpaka vijijini wamefikiwa, mchina kajaza slots machines.

M Machine zake nyingi ni sh. 200 ambapo yeye huweka sh. Elfu 60 tu , sawa na sarafu 300 tu za sh. 200 ya Kitanzania.

Akiweka anaondoka baada ya masaa 24 anapitia mawindo yake. Hupata mpaka laki 5 au zaidi wakati mwingine.

Hivi ni nani aliyeroga Taifa hili?

Kwa siku mabilioni mangapi yanapotea na kupelekwa Uchina kwa haya madubwi?
Kwa mwaka ni trillions ngapi?

Dar es salaam kila kichochoro wanaweza, kila kwenye baa n.k.

Ni nani karoga hili Taifa.
Walaumu hao wanaoweka hizo laki 5. Mchina hana kosa.
 
Back
Top Bottom