Inakuwaje Mchina aweke sh. Elfu 60 kwenye madubwi na kuvuna mpaka laki 5 kila siku na serikali ipo?

Inakuwaje Mchina aweke sh. Elfu 60 kwenye madubwi na kuvuna mpaka laki 5 kila siku na serikali ipo?

Walaumu hao wanaoweka hizo laki 5. Mchina hana kosa.
Kosa lipo kubwa sana kumbuka nchi yetu ina tatizo kubwa la ukosefu wa elimu kutokana na shule zetu kutotoa elimu iliyo bora matokeo yake wananchi wengi hawajaelimika na wala sio ujinga wao ,kwa hiyo serikali ina wajibu wa kuwalinda wananchi wake.
 
Hata hao watanzania wanaotakiwa kulinda wananchi nao hawajaelimika wamesoma elimu isiyo bora.
 
Sasa mpaka vijijini wamefikiwa, mchina kajaza slots machines.

M Machine zake nyingi ni sh. 200 ambapo yeye huweka sh. Elfu 60 tu , sawa na sarafu 300 tu za sh. 200 ya Kitanzania.

Akiweka anaondoka baada ya masaa 24 anapitia mawindo yake. Hupata mpaka laki 5 au zaidi wakati mwingine.

Hivi ni nani aliyeroga Taifa hili?

Kwa siku mabilioni mangapi yanapotea na kupelekwa Uchina kwa haya madubwi?
Kwa mwaka ni trillions ngapi?

Dar es salaam kila kichochoro wanaweza, kila kwenye baa n.k.

Ni nani karoga hili Taifa.
Kwenye madubwi kuna zaidi ya 60,000 zimo kwa ndani, wewe unahesa zinazo kaa kwenye trei ambazo ni 60,000
 
Kwenye madubwi kuna zaidi ya 60,000 zimo kwa ndani, wewe unahesa zinazo kaa kwenye trei ambazo ni 60,000
Mimi nimeona mara nyingi wanavyofungua kukusanya fedha, nimeona pia wakifungua kufanya service pia. Wanaweka trei moja tu sawa na sh. 60000. Watanzania ndio hugombania hiyo 60000 kwa kutumbukiza malaki.
 
Back
Top Bottom