Inakuwaje mdada pisi kali, anatembea na mwanaume mwenye muonekano wa kienyeji?

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,572
Reaction score
3,863
Unakuta jamaa hata perfume haijui, umbo na sura havieleweki ila ndo yuko na pisi moja imenyooka, how?

Mtoto wa kike mzuri shart atoke na kijana handsome, mwenye muonekano. Hata wakipata watoto wanakua wanapendeza, huku kuchanganya madawa kuna haribu mbegu.

Money is not everything. Think about you child as well.
 
Unawaza child mwenzako anawaza misuguano humu tu na mwanaume mshamba ana chupa ya koka nyeus ndan ya boxa
 
Unakuta jamaa hata perfume haijui, umbo na sura havieleweki ila ndo yuko na pisi moja imenyooka, how?

Mtoto wa kike mzuri shart atoke na kijana handsome, mwenye muonekano. Hata wakipata watoto wanakua wanapendeza, huku kuchanganya madawa kuna haribu mbegu.

Money is not everything. Think about you child as well.
Domo zege mna tabu, ulitongoza akakukataa?
 
Back
Top Bottom