Inakuwaje mdada pisi kali, anatembea na mwanaume mwenye muonekano wa kienyeji?

ninaposema pisi kali, sizungumzii ma single mother na mishangazi kama nyie. tulia tuli 👌👌👌
Haikuondolei hii aibu yako ya kujadili utamu wa vienyeji vyetu
 
Pia kuna mademu Sura kama Gari bovu lakini wameolewa lakini kuna mwenzangu namimi pisi haswaa ila ndoa anaisikia kwenye Bomba anazeekea nyumbani
 
Unakuta jamaa hata perfume haijui, umbo na sura havieleweki ila ndo yuko na pisi moja imenyooka, how?

Mtoto wa kike mzuri shart atoke na kijana handsome, mwenye muonekano. Hata wakipata watoto wanakua wanapendeza, huku kuchanganya madawa kuna haribu mbegu.

Money is not everything. Think about you child as well.
Kwani inakuwaje mke wako mnampa pesa ya vocha laki 3 ila anayemkwangulia vocha anamla bure
 
Unakuta jamaa hata perfume haijui, umbo na sura havieleweki ila ndo yuko na pisi moja imenyooka, how?

Mtoto wa kike mzuri shart atoke na kijana handsome, mwenye muonekano. Hata wakipata watoto wanakua wanapendeza, huku kuchanganya madawa kuna haribu mbegu.

Money is not everything. Think about you child as well.
kipenda roho hula nyama mbichi
 
Back
Top Bottom