Wewe ni binti tena kigori.unajua kua mimi ni mwanaume?
Unawaza child mwenzako anawaza misuguano humu tu na mwanaume mshamba ana chupa ya koka nyeus ndan ya boxaUnakuta jamaa hata perfume haijui, umbo na sura havieleweki ila ndo yuko na pisi moja imenyooka, how?
Mtoto wa kike mzuri shart atoke na kijana handsome, mwenye muonekano. Hata wakipata watoto wanakua wanapendeza, huku kuchanganya madawa kuna haribu mbegu.
Money is not everything. Think about you child as well.
DAAAH!Wewe ni binti tena kigori.
Bisha kwa hoja.
Tembea nao hivyo hivyo mkuu.unajua kua mimi ni mwanaume?
Kunani mkuu?DAAAH!
MAMAEEEE!
Mwanaume hana akili za hivyo,wewe mwanaume bodi,injini jikeunajua kua mimi ni mwanaume?
MKUU!Kunani mkuu?
LEO MNA NINI VICHWANI?Mwanaume hana akili za hivyo,wewe mwanaume bodi,injini jike
Hahaha 😁🤣.MKUU!
MPENZI WAKO KANIPGA SPANA KWENYE POST ZAKE..
YULEE ANAITWA nusratt
Domo zege mna tabu, ulitongoza akakukataa?Unakuta jamaa hata perfume haijui, umbo na sura havieleweki ila ndo yuko na pisi moja imenyooka, how?
Mtoto wa kike mzuri shart atoke na kijana handsome, mwenye muonekano. Hata wakipata watoto wanakua wanapendeza, huku kuchanganya madawa kuna haribu mbegu.
Money is not everything. Think about you child as well.
Ila unaongelea utamu wa wanaume wenzio wewe ni mwanamke mwenzetu tu usijifaragueunajua kua mimi ni mwanaume?