Inakuwaje mdada pisi kali, anatembea na mwanaume mwenye muonekano wa kienyeji?

Suala la kupata mtoto mzuri halitabiriki mnaweza jikuta wazazi wote sura kwatu ila katoto kakatoka very cute

Hata hivyo mwanaume mzuri ni wa kupostiwa tu sio wakufanya nae maisha
 
Hao wa kienyej kwa show ndo balaa nnavyosikia ss usipangie watu priority. Mahb hamna shughuli
 
Hao na handsome ni kwa ajili ya mauzo na sio kazi walamba lips hao hawawezi KAZI.
KAZI kuku wa kienyeji
 
Ila unaongelea utamu wa wanaume wenzio wewe ni mwanamke mwenzetu tu usijifarague
ninaposema pisi kali, sizungumzii ma single mother na mishangazi kama nyie. tulia tuli πŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…