Hizo emoj vip master ?ninaposema pisi kali, sizungumzii ma single mother na mishangazi kama nyie. tulia tuli πππ
Sawanampa vidonge vyake huyu asie na haya.
Wewe si ndiye unapenda massage za mgongo kavu bila mafuta?unajua kua mimi ni mwanaume?
Mwanaume rijali hawatumii hizo emoj ππππ€£ninaposema pisi kali, sizungumzii ma single mother na mishangazi kama nyie. tulia tuli πππ
Njoo basi nikufanyie therapyvinahusiana vipi na hii mada? pili, kwani masaji ni kwa wanawake tu? ile ni therapy . upo?
Wewe unamuita huyo jamaa master?? Tumia jina jingine sio Master. Huo mchele mchele huoHizo emoj vip master ?
Kumbe kuna namna jina master nimempaisha sanaπWewe unamuita huyo jamaa master?? Tumia jina jingine sio Master. Huo mchele mchele huo
Haikuondolei hii aibu yako ya kujadili utamu wa vienyeji vyetuninaposema pisi kali, sizungumzii ma single mother na mishangazi kama nyie. tulia tuli πππ
Ndio usimpe sifa asiokuwa nazo He is Master of NoneKumbe kuna namna jina master nimempaisha sanaπ
Kwani inakuwaje mke wako mnampa pesa ya vocha laki 3 ila anayemkwangulia vocha anamla bureUnakuta jamaa hata perfume haijui, umbo na sura havieleweki ila ndo yuko na pisi moja imenyooka, how?
Mtoto wa kike mzuri shart atoke na kijana handsome, mwenye muonekano. Hata wakipata watoto wanakua wanapendeza, huku kuchanganya madawa kuna haribu mbegu.
Money is not everything. Think about you child as well.
kipenda roho hula nyama mbichiUnakuta jamaa hata perfume haijui, umbo na sura havieleweki ila ndo yuko na pisi moja imenyooka, how?
Mtoto wa kike mzuri shart atoke na kijana handsome, mwenye muonekano. Hata wakipata watoto wanakua wanapendeza, huku kuchanganya madawa kuna haribu mbegu.
Money is not everything. Think about you child as well.