Unakuta jamaa hata perfume haijui, umbo na sura havieleweki ila ndo yuko na pisi moja imenyooka, how?
Mtoto wa kike mzuri shart atoke na kijana handsome, mwenye muonekano. Hata wakipata watoto wanakua wanapendeza, huku kuchanganya madawa kuna haribu mbegu.
Money is not everything. Think about you child as well.
Nimecheka sanaWewe ni binti tena kigori.
Bisha kwa hoja.
Amenikera kimtindo.Nimecheka sana
Acha wivuUnakuta jamaa hata perfume haijui, umbo na sura havieleweki ila ndo yuko na pisi moja imenyooka, how?
Mtoto wa kike mzuri shart atoke na kijana handsome, mwenye muonekano. Hata wakipata watoto wanakua wanapendeza, huku kuchanganya madawa kuna haribu mbegu.
Money is not everything. Think about you child as well.
Tafuta helaUnakuta jamaa hata perfume haijui, umbo na sura havieleweki ila ndo yuko na pisi moja imenyooka, how?
Mtoto wa kike mzuri shart atoke na kijana handsome, mwenye muonekano. Hata wakipata watoto wanakua wanapendeza, huku kuchanganya madawa kuna haribu mbegu.
Money is not everything. Think about you child as well.
Wapo likizo fupi ya Pasaka mkuu ndiyo tatizo, wanachezea simu za kaka zao sasa hivi..[emoji51]Hivi form four wamemaliza shule lini!? hizi takataka zitutoke mtaani...ndo matokea yake uzi za kiifala kama hizi humu
Hivi Kuna dable mother?ninaposema pisi kali, sizungumzii ma single mother na mishangazi kama nyie. tulia tuli ๐๐๐
Naunga mkono hoja,huyu ni mwanamke.Mwanaume hana akili za hivyo,wewe mwanaume bodi,injini jike