mtanganyika wa kweli
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 2,420
- 1,721
xx hapo hoja gn kajenga?wach virojaExactly.Hongera mkuu unajua kujenga hoja
I like people like you
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
xx hapo hoja gn kajenga?wach virojaExactly.Hongera mkuu unajua kujenga hoja
I like people like you
In short hao wote walikua wame sell their souls to the devil.Asalaam!
Rejea mada tajwa hapo juu. Kuna suala moja nimejihoji kwa muda mrefu lakini sijapata jawabu kutokana na visa vikuu viwili nilivyovishuhudia mwenyewe.
Mwaka 2013 mkoani Mbeya, Baba yetu mkubwa aliugua sana. Alizungushwa hospital nyingi sana pasipo mafanikio.
Mara ya mwisho ilikuwa MNH ambapo alishauriwa kurudi nyumbani ili walau ndugu wahangaike na tiba ya upande wa pili.
Mzee yule alikuwa akisema natamani kufa lakini kabla sijafa nataka kumuona mwanangu wa mwisho Asubhisye ambaye alikuwa Tanga. Ilibidi aitwe na aliporudi nyumbani Asubhisye aliongea nae na Mzee akachangamka kweli. Cha ajabu kesho yake alifariki.
Kisa cha pili nilikishuhudia kwa baba mwenye nyumba enzi nafanya kazi Geita mwishoni Mwa mwaka 2013. Mzee yule aliitwa Kachila alikuwa Muha wa Kasulu huko. Aliugua sana na matibabu yalishindikana.
Alikuwa kila Mara akisema naombeni muende Ukerewe mkaongee na Mke wangu amlete mtoto nimuone. Miaka mitatu nyuma alitengana na mkewe ambaye alikuwa mjamzito na tangu aondoke hakuwahi kurudi hata baada ya kujifungua.
Baada ya matakwa yake kutekelezwa naye alifariki baada ya siku moja.
Sasa najiuliza...je kuna mahusiano gani kati ya kukata roho na kumuona MTU unayemhitaji?
Kwa visa tajwa hapo juu, je nawe umewahi shuhudia au ni coincidence tu niliyokutana nayo?
Karibuni tueleweshane na kubadilishana uzoefu katika hili!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu siwezi thibishaporojo hizo,ulisikia mazungumzo yao.Thibitisha!
Google stages of natural death and how to prolong life within last stage naamin utaelewa ,,usiwe mzembe wa kusomawacha porojo et anaamua kufa,kifo ingekuwa maamuzi hakun ambay angekubal!
ushaexperience kifo?
pumbavu kabisa kwahiyo google ndo uthibitisho wako?Google stages of natural death and how to prolong life within last stage naamin utaelewa ,,usiwe mzembe wa kusoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Iman za kishirikina na mila mbovu zitawamaliza nyie wabongo ,,unabisha bila fact nunua psychological book usome uelewepumbavu kabisa kwahiyo google ndo uthibitisho wako?
na mm nikiyaweka haya yangu google itakuwa ndo reference yako?
*wacha kuwa malaya katika kufikiri,go beyond!
Umesoma nakuielewa pos ya moses john choyo?....survive for several..... hiki kipande ulikipitia?wacha porojo et anaamua kufa,kifo ingekuwa maamuzi hakun ambay angekubal!
ushaexperience kifo?
huo unaoamin ww ndo ushirikina kwamb myu anagoma kufa!Iman za kishirikina na mila mbovu zitawamaliza nyie wabongo ,,unabisha bila fact nunua psychological book usome uelewe
science haimini hiz pumba zako ambazo haziwez kuwa tested
Sent using Jamii Forums mobile app
ukiona hvyo muda wake haujafika ukifika hakun hyo survive for several.....Umesoma nakuielewa pos ya moses john choyo?....survive for several..... hiki kipande ulikipitia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini HIV positive akiwa na stress anawahi kufa?ukiona hvyo muda wake haujafika ukifika hakun hyo survive for several.....
Mkuu,jaribu kusoma tena na utafakar akisemacho mleta thread kwa mujibu wa tafiti zakeMkuu unataka kutuaminisha kuwa kama hao walioaga wasingetimiziwa matakwa yao wasingefariki hadi leo????
Ahsante kwa kumpa maelekezo!Mkuu,jaribu kusoma tena na utafakar akisemacho mleta thread kwa mujibu wa tafiti zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh naona umeamua kubisha tu.Think twicexx hapo hoja gn kajenga?wavh viroja
??????Mkuu unataka kutuaminisha kuwa kama hao walioaga wasingetimiziwa matakwa yao wasingefariki hadi leo????
Sio hvyo tu mkuu, wengne kabla ya umauti huwa wanaomba wapikiwe aina flan ya chakula, au hata huomba maji ya kunywa....haya mambo kina mshana jr wanaeza kufafanua zaid, wamebobea ktk hz fani ngoja tumuite ajeAsalaam!