Inakuwaje mtu anamaliza degree hajui kuongea English?

Inakuwaje mtu anamaliza degree hajui kuongea English?

Watanzania tunakichukia kiingereza kwakuwa hatukijui
 
Inaonekana kuna watu wanaamini huko mjini UK hakunaga vilaza wanao feli vyuoni kwasababu wote wanatema yai [emoji23][emoji23]
 
Mama kwani wanao tutenga si wao, na wanaosisitiza lugha si wao na wanaofanya waonekane hawajui kuongea ni wao. Ni kaujinga tu ka ubaguzi na kujiona wao ndio wajanja sanaaa.

Sasa ubaguzi gani kama umetumia English kuanzia form 1 leo unamaliza chuo hujui English halafu unasingizia wazungu kwa uvivu na uzembe binafsi
 
Halafu huyu anajiita msomi, na unakuta anaGPA nzuri kabisa 😃 tunaenda wapi afrika na nini tunakiandaa katika maisha ya sasa, sioni faida ya huyu mtu na ni mtu wa hovyo hatufai kagika jamii

Niwaulize ma lecture mnaojiita madoctor na maprofesor hawa watu wanapita mikononi mwenu na vyetu mnawaandalia ninyi

Sielewi hapa kwa akilo zangu finyu. Au kuna muanya wa kugawana magamba ya degree mbona sielewi

🤣🤣🤣
malecturer wanafundisha English ?
Kujua kuongea English ni kipimo cha Kuwa unazo kichwani even Indians au chinese wasomi English kwao ni shida sana (lugha bila practice ya kuongea uongo sana)
 
Back
Top Bottom