wao ni wao
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 1,179
- 2,807
Hapa namkumbuka mwanangu mmoja wa pale UDSM enzi hizo mwamba anapenda mademu wa kishua na wadosi ila lugha mushkeri .Halafu huyu anajiita msomi, na unakuta anaGPA nzuri kabisa [emoji2] tunaenda wapi afrika na nini tunakiandaa katika maisha ya sasa, sioni faida ya huyu mtu na ni mtu wa hovyo hatufai kagika jamii
Niwaulize ma lecture mnaojiita madoctor na maprofesor hawa watu wanapita mikononi mwenu na vyetu mnawaandalia ninyi
Sielewi hapa kwa akilo zangu finyu. Au kuna muanya wa kugawana magamba ya degree mbona sielewi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kila akitumiwa meseji za kiinglishi ananisukumia nitafsiri pia nitoa jibu nimtumie ili awajibu .
Nilikuwa naboreka sana ila sema ndiy hivyo ni mshikaji wangu nitafanyaje sasa .
Mwisho akala uteuzi mpaka leo nikimuona kwa kideo nacheka sana