Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena amefundisha kwa mda mrefu UDSM!Ex minister wa elimu wa awamu ya 5 alishindwa kuongea English iliyonyooka kwenye kongamano la elimu na PhD yake sembuse degree holder?
Hebu msiwape stress vijana wa watu. Cha muhimu contents aliyonayo kichwani sio English yake anayoizungumza
Inakuaje mtu timamu unazidiwa na kichaaKuna vichaa wapo huko uingereza, wanapiga ngeli la maana sana, na wala hawajaenda shule yoyote
So What?Halafu huyu anajiita msomi, na unakuta anaGPA nzuri kabisa 😃 tunaenda wapi afrika na nini tunakiandaa katika maisha ya sasa, sioni faida ya huyu mtu na ni mtu wa hovyo hatufai kagika jamii, Niwaulize ma lecture mnaojiita madoctor na maprofesor hawa watu wanapita mikononi mwenu na vyetu mnawaandalia ninyi, Sielewi hapa kwa akilo zangu finyu. Au kuna muanya wa kugawana magamba ya degree mbona sielewi 🤣🤣🤣
Must be President Trump. ha ha Si shangai?Si shangai tulitawaliwa na rais aliejua kuandika english lakini hajui kuongea kingereza...🤣🤣🤣
Afrika yote ya nini we hangaika na huyo mtu wako au pengine ni wewe kabisa. Africa wakati watoto wa primary wanajua hiyo lugha hapa bongoHalafu huyu anajiita msomi, na unakuta anaGPA nzuri kabisa 😃 tunaenda wapi afrika na nini tunakiandaa katika maisha ya sasa, sioni faida ya huyu mtu na ni mtu wa hovyo hatufai kagika jamii, Niwaulize ma lecture mnaojiita madoctor na maprofesor hawa watu wanapita mikononi mwenu na vyetu mnawaandalia ninyi, Sielewi hapa kwa akilo zangu finyu. Au kuna muanya wa kugawana magamba ya degree mbona sielewi 🤣🤣🤣
Mwambie ukweli. Ni mpuuzi.Dogo bado brain washed katika suala la elimu
malecture ndio nini? We mwenyewe umejitathmini? WE mwenyewe bongolala acha kuzungumzia wenzio pambana na hiyo hali yako yenyeweHalafu huyu anajiita msomi, na unakuta anaGPA nzuri kabisa 😃 tunaenda wapi afrika na nini tunakiandaa katika maisha ya sasa, sioni faida ya huyu mtu na ni mtu wa hovyo hatufai kagika jamii, Niwaulize ma lecture mnaojiita madoctor na maprofesor hawa watu wanapita mikononi mwenu na vyetu mnawaandalia ninyi, Sielewi hapa kwa akilo zangu finyu. Au kuna muanya wa kugawana magamba ya degree mbona sielewi 🤣🤣🤣
Kingereza usomi je na sisi tulisomea kifaransa je???Mwambie ukweli. Ni mpuuzi.
Hata trump alikua anaongea blackAmerican slang ila sio really america English 🤣🤣🤣Must be President Trump. ha ha Si shangai?
Uliwahi muona anaandika?!!Si shangai tulitawaliwa na rais aliejua kuandika english lakini hajui kuongea kingereza...🤣🤣🤣
Utetezi wote huu kisa haitaki kujifunza kiingereza?😂😂😂😂UPUUZI!!!! TAKATAKA!! (Kwa sauti ya MUSIBA). Mtoa post hivi unajua kuwa Mtu kuwa na maarifa sio lazima aelewe lugha ya Kiingereza? na ndyo maana wataalam wanataka Lugha ya kiswahili ifundishwe mpaka vyuoni. Hivi haufahamu kuwa Wachina licha ya kupiga hatua kubwa ktk Uchumi wa Dunia lakini Mtaala wao wa Elimu unatumia Lugha yao ya kichina (Mandalin Chinese)? Hivi mtoa mada unafahamu nini kuhusu Lugha? Je unajua kuwa kila Lugha ni bora(Langauge Superiority)? Mtoa mada hivi unajua misingi ya kuwa na maarifa ktika nyanja ya kujifunzia au ktk nyanja ya taaluma fulani, hakuzingatii Lugha?
Mtoa mada, hivi unajua hata hicho kingereza kimetohoa maneno kutoka lugha nyingine? Kingereza cha karne ya 13 B k ni tofauti na cha sasa? Kasome shahiri linalojulikana kama "I too Sing America"..
Mtoa mada, mm ni Mwl. Katika Elements za lugha tunaangalia Arbitrarity (Unasibu). Ktk unasibu ndyo tunapata hizo lugha zote na ukisoma Unasibu utagundua kila lugha ni bora kwakuwa mwanadamu hazaliwi na lugha, bali anaikuta tu, nakuongezea hapa System, conventional, n.k.
Note: Sijasema watu wasijifunze kiingereza kwa kuwa ni Lugha inayozungumzwa ulimwengu mzima na hii ni kutokana na maendeleo yao tu, na kutawala baadhi ya maeneo Duniani kuanzia kipindi kile cha Utumwa, kipropaganda na kibiashara zaidi. Hata Lugha ya kiswahili ingekuwa kule Uingereza now na kingerza kingekuw hku basi kiswahili kingekuwa lugha maahughuli ulimwenguni, lakin ktk misingi ya kupata maarifa nakupinga.
Watu wajifunze kiingereza, kichina, kifaransa, kilatini, kiyahudi n.k kwakuwa Kila lugha ina umuhimu wake kama chombo kikuu cha mawasiliano; amabapo kupitia mawasiliano haya tunaweza kuhawilisha mitazamo yetu, kutoa maoni, mapendekezo, kubadilishana mawazo, kutuunganisha kibiashara, kiutamaduni, kijamii, kisiasa n.kl. Lakini ktk kupata maarifa kila jamii itumie lugha yake ili kuzalisha wasomi wanaoelewa kile walichojifunza zaidi. Tafiti zinaonesha kuwa mtu anayejifunza kwa Lugha yake huwa anaelewa zaidi(Mbobevu) kuliko yule anayetumia lugha nyingne. Kamsome Abraham Manslow ktk Language in learnig na John Locke, au achana na hawa wote utachanganyikikwa, naomba ukamsome BENJAMIN BOOM Ktk ile Theory ya COGNITIVE DOMAIN, alafu njoo hapa.
Nimemaliza
**** la mmako nalo linazungumza aje.Hata trump alikua anaongea blackAmerican slang ila sio really america English 🤣🤣🤣
Hapa Tanzania 🇹🇿 namkumbuka hayati Magufuli kwenye baadhi ya hotuba zake alivyokua akijitetea kwamba anajua kuandika kienglish na hata kuzungumza kiingereza in magu voice 😂😂😂😂
Kwenye kuandika yule mwendazake alikua super sana ila about speaking that will be very halarious 🤣🤣🤣Uliwahi muona anaandika?!!