Inakuwaje mtu anamaliza degree hajui kuongea English?

Inakuwaje mtu anamaliza degree hajui kuongea English?

Lugha yetu ni kiswahili lakini hatuitili maanani kwenye shuguli zetu, Mtu akiongea Envlish anaonekana kasoma sanaaaa😂😂
 
Hakuna graduate asiejua simple english hata mmoja

Kuna ishu ya presentation, kuna ishu ya ku-defend research haya hapa alitumia lugja gan

Emu acha wivu na wwnzio
 
Hii ni mimi kabisa mkuu, nilidunda kwenye interviews kibao mpaka nikanyoosha mikono

Nikaamua kwenda kulima mchicha, nashukuru sikosi hela ya kununua mafuta.
 
GPA nzuri
English sio kitu cha kumsemea mtu, una wivu kisa mwenzio ana degree na GPA nzuri

Kama unafikiri n rahisi kuvipata bila kujua english nenda chuo 😂😂😂😂

English sio kitu cha kumsemea mtu, una wivu kisa mwenzio ana degree na GPA nzuri

Kama unafikiri n rahisi kuvipata bila kujua english nenda chuo 😂😂😂😂
GPA nzuri mama siku hizi unapewa cheti safi tu, kiwe cha diploma, Digrii na hata masta na hata ukitaka GPA 5 unawekewa cheti safi CW safi kote A. 🥰🥰🥰🥰

Tanzania nchi nzuri sana. Elimu ni bute kila kitu ni connection.
 
Halafu huyu anajiita msomi, na unakuta anaGPA nzuri kabisa 😃 tunaenda wapi afrika na nini tunakiandaa katika maisha ya sasa, sioni faida ya huyu mtu na ni mtu wa hovyo hatufai kagika jamii, Niwaulize ma lecture mnaojiita madoctor na maprofesor hawa watu wanapita mikononi mwenu na vyetu mnawaandalia ninyi, Sielewi hapa kwa akilo zangu finyu. Au kuna muanya wa kugawana magamba ya degree mbona sielewi 🤣🤣🤣
Hii kwani lazima jamani kujua hiyo lugha.
 
GPA nzuri

GPA nzuri mama siku hizi unapewa cheti safi tu, kiwe cha diploma, Digrii na hata masta na hata ukitaka GPA 5 unawekewa cheti safi CW safi kote A. 🥰🥰🥰🥰

Tanzania nchi nzuri sana. Elimu ni bute kila kitu ni connection.
Nakataa hamna chuo kitakupa digrii safii kirahisi hivo 😂😂😂

SUA, UDSM, UDOM hawana hizo mambo. hardwork yako ndo hukupa hizo GPA na cheti ssfi

Kwanza na mashaka na wewe ukute hata degree yenyewe huna.
 
Nani alikudaganya kujua kiingereza ndiyo kuwa msomi? Kwa taarifa yako nchi zingine kuna watu wanajua kuongea kiingereza lakini wajinga kwa sababu hawajawahi kuingia darasani,yaani hawajui kusoma wala kuandika ili kiingereza ni lugha yao ya kuzaliwa kama kiswahili,kisukuma na kihaya.

Kuitwa msomi ni kuwa na elimu ya kujua mambo mbalimbali yahusuyo viumbe hai, mazingira, jamii na mambo ya ulimwengu kwa ujumla.

Kiingereza ni sawa na lugha zingine duniani kote kama kichina,kikorea,kihisiapania,kijeremani, lugha yako wewe nk
 
Nani alikudaganya kujua kiingereza ndiyo kuwa msomi? Kwa taarifa yako nchi zingine kuna watu wanajua kuongea kiingereza lakini wajinga kwa sababu hawajawahi kuingia darasani,yaani hawajui kusoma wala kuandika ila kiingereza ni lugha yao ya kuzaliwa kama kiswahili,kisukuma na kihaya.

Kuitwa msomi ni kuwa na elimu ya kujua mambo mbalimbali yahusuyo viumbe hai, mazingira, jamii na mambo ya ulimwengu kwa ujumla.

Kiingereza ni sawa na lugha zingine duniani kote kama kichina,kikorea,kihisiapania,kijeremani, lugha yako wewe nk
 
wanafunzi wengi wa kibongo tunaweza kuandika,kusoma. na kusikia sana tu, kuongea kingereza kilicho nyooka inaitaji mazoezi yan uwe unaongea mara kwa mara,sasa mtu katoka venue kiswahili kinaendelea kama kawa lazima iwengumu...

pia na masomo yenyewe maana kuna kingereza cha social na cha taaluma,sasa wasomi wengi wanajua cha taaluma ukimuuliza maswali ya kitaaluma anakujibu vizur lakin kupiga soga mpaka a practice
 
Halafu huyu anajiita msomi, na unakuta anaGPA nzuri kabisa 😃 tunaenda wapi afrika na nini tunakiandaa katika maisha ya sasa, sioni faida ya huyu mtu na ni mtu wa hovyo hatufai kagika jamii, Niwaulize ma lecture mnaojiita madoctor na maprofesor hawa watu wanapita mikononi mwenu na vyetu mnawaandalia ninyi, Sielewi hapa kwa akilo zangu finyu. Au kuna muanya wa kugawana magamba ya degree mbona sielewi 🤣🤣🤣
Umenikumbusha mbali sana.Ila leo sipendi ugomvi.😜😜😜😜
 
Halafu huyu anajiita msomi, na unakuta anaGPA nzuri kabisa [emoji2] tunaenda wapi afrika na nini tunakiandaa katika maisha ya sasa, sioni faida ya huyu mtu na ni mtu wa hovyo hatufai kagika jamii, Niwaulize ma lecture mnaojiita madoctor na maprofesor hawa watu wanapita mikononi mwenu na vyetu mnawaandalia ninyi, Sielewi hapa kwa akilo zangu finyu. Au kuna muanya wa kugawana magamba ya degree mbona sielewi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Magufuli alikua na PhD na ngeli alikua hajui
 
UPUUZI!!!! TAKATAKA!! (Kwa sauti ya MUSIBA). Mtoa post hivi unajua kuwa Mtu kuwa na maarifa sio lazima aelewe lugha ya Kiingereza? na ndyo maana wataalam wanataka Lugha ya kiswahili ifundishwe mpaka vyuoni. Hivi haufahamu kuwa Wachina licha ya kupiga hatua kubwa ktk Uchumi wa Dunia lakini Mtaala wao wa Elimu unatumia Lugha yao ya kichina (Mandalin Chinese)? Hivi mtoa mada unafahamu nini kuhusu Lugha? Je unajua kuwa kila Lugha ni bora(Langauge Superiority)? Mtoa mada hivi unajua misingi ya kuwa na maarifa ktika nyanja ya kujifunzia au ktk nyanja ya taaluma fulani, hakuzingatii Lugha?
Mtoa mada, hivi unajua hata hicho kingereza kimetohoa maneno kutoka lugha nyingine? Kingereza cha karne ya 13 B k ni tofauti na cha sasa? Kasome shahiri linalojulikana kama "I too Sing America"..

Mtoa mada, mm ni Mwl. Katika Elements za lugha tunaangalia Arbitrarity (Unasibu). Ktk unasibu ndyo tunapata hizo lugha zote na ukisoma Unasibu utagundua kila lugha ni bora kwakuwa mwanadamu hazaliwi na lugha, bali anaikuta tu, nakuongezea hapa System, conventional, n.k.

Note: Sijasema watu wasijifunze kiingereza kwa kuwa ni Lugha inayozungumzwa ulimwengu mzima na hii ni kutokana na maendeleo yao tu, na kutawala baadhi ya maeneo Duniani kuanzia kipindi kile cha Utumwa, kipropaganda na kibiashara zaidi. Hata Lugha ya kiswahili ingekuwa kule Uingereza now na kingerza kingekuw hku basi kiswahili kingekuwa lugha maahughuli ulimwenguni, lakin ktk misingi ya kupata maarifa nakupinga.

Watu wajifunze kiingereza, kichina, kifaransa, kilatini, kiyahudi n.k kwakuwa Kila lugha ina umuhimu wake kama chombo kikuu cha mawasiliano; amabapo kupitia mawasiliano haya tunaweza kuhawilisha mitazamo yetu, kutoa maoni, mapendekezo, kubadilishana mawazo, kutuunganisha kibiashara, kiutamaduni, kijamii, kisiasa n.kl. Lakini ktk kupata maarifa kila jamii itumie lugha yake ili kuzalisha wasomi wanaoelewa kile walichojifunza zaidi. Tafiti zinaonesha kuwa mtu anayejifunza kwa Lugha yake huwa anaelewa zaidi(Mbobevu) kuliko yule anayetumia lugha nyingne. Kamsome Abraham Manslow ktk Language in learnig na John Locke, au achana na hawa wote utachanganyikikwa, naomba ukamsome BENJAMIN BLOOM Ktk ile Theory yake ya COGNITIVE DOMAIN ktk kipengele cha Learning, achana na Theory yake iliyozoeleka ya BLOOM TAXONOMY tafadhali!!!! alafu njoo hapa.

Achana kabisa na wakina Ivan Pavlov, B.F Skinner watakuchanganya hao.!!, _😀

Nimemaliza
 
Halafu huyu anajiita msomi, na unakuta anaGPA nzuri kabisa [emoji2] tunaenda wapi afrika na nini tunakiandaa katika maisha ya sasa, sioni faida ya huyu mtu na ni mtu wa hovyo hatufai kagika jamii, Niwaulize ma lecture mnaojiita madoctor na maprofesor hawa watu wanapita mikononi mwenu na vyetu mnawaandalia ninyi, Sielewi hapa kwa akilo zangu finyu. Au kuna muanya wa kugawana magamba ya degree mbona sielewi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
English ni Lugha si usomi..

Ni kwa vile tu, Dunia nzima inatumia English kama lugha ya kimataifa inabidi angalau ujue kimombo hata cha kuombea maji...
 
Halafu huyu anajiita msomi, na unakuta anaGPA nzuri kabisa 😃 tunaenda wapi afrika na nini tunakiandaa katika maisha ya sasa, sioni faida ya huyu mtu na ni mtu wa hovyo hatufai kagika jamii, Niwaulize ma lecture mnaojiita madoctor na maprofesor hawa watu wanapita mikononi mwenu na vyetu mnawaandalia ninyi, Sielewi hapa kwa akilo zangu finyu. Au kuna muanya wa kugawana magamba ya degree mbona sielewi 🤣🤣🤣
Wachina na Wajerumani wanaomaliza Degree zao na kuwa Wataalam wa Teknolojia, Ujenzi na Fani zingine muhimu kwa Jamii na zilizowapa Maendeleo makubwa duniani wao wanajua hiki Kiingereza chako unachokipigia Chapuo hapa na ambacho nina uhakika pia hata Wewe Mwenyewe hukijui na bado Unakibahatisha tu?
 
Lugha ya Kiengereza ni tatizo kwa Watanzania karibu wote na hili limesababishwa na Sera Mbovu ya Elimu yetu.
 
Back
Top Bottom